Kwa shule za msingi nchini Tanzania PREM number ni kitu gani?

Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,658
3,645
Habari za asubuhi wakubwa,

Naomba kufahamishwa. Kwa shule za msingi prem number ni kitu gani na ina umuhimu gani?

Naomba kuelimishwa wandugu.
 
Ni namba ya usajili kwa mwanafunzi na hiyo number ndio inayomfanya mtoto kufanya mtihani au akihitaji uhamisho kutoka shule A kwenda B

Kila mwanafunzi anapewa hiyo number baada ya kuanza darasa la kwanza ataitumia hiyo number mpaka form six
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom