KIBESENI
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 360
- 351
Kuna uwezekano kweli kwa mtu au kampuni kuanzisha kikosi cha jeshi maalum chakukodiwa?kikodiwe kufanya oppration mbali mbali ndani ya nchi hata nje ya nchi.lakini kinachomilikiwa na mtu au watu.Kwa nchi yetu lakini, nisaidieni mnaojua tafadhari.
KUMBUKA SIO CHA KIGAIDI,KINAWEZA KIKAWA CHA UPELELEZI AU KULINDA AMANI NK
KUMBUKA SIO CHA KIGAIDI,KINAWEZA KIKAWA CHA UPELELEZI AU KULINDA AMANI NK