Kwa sasa ni kama wenye haki nchi hii ni wa machinga pekee yake

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,687
6,427
Kwa sasa ni kama wenye haki nchi hii ni wa machinga pekee yake na jamii nyingine haina haki kabisa.

Kwa sasa kuna jitihada za kutafuta kila eneo la wazi ili wawekwe hawa wanyonge.

Kwa sasa mijini ina maana maeneo ya kupunzika hayahitajiki tena, viwanja vya watoto kuchezea mpira havihitajiki bali kwa sasa ni kinachomata ni wanyonge wapate sehemu ya kuuzia bidhaa zao.

Miji kwa sasa imefurika masoko kana kwamba mji ni masoko pekeee, nashindwa kuelewa Vision ya hawa viongozi wetu kabisa.
 
Back
Top Bottom