Kwa sasa modem gani inakidhi mahitaji?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Hallo wana jf katk mitandao yetu zain,voda na tigo je mtandao upi ktk matumiz ya modem anaeleweka kwa huduma nzuri na yauhakika?
 
I'll advice you to go for Airtel modems. so far huduma zao ndo sinazoeleweka.
 
Nunua modem moja ya ZTE vodacom kisha tumia line zote pamoja na airtel na tigo bila noma.
Ya nini kuwa na wasiwasi? itakayokuvutia hiyo hiyo!
 
Modem zote uchuro tu askudanganye mtu, kama tofauti ni ndogo sana.

Inashangaza,hatuelezwi kwanini bado hakuna makampuni ya kutoa kwa kutumia cables ambazo ni cheaper na mbwembwe za mkonga wa taifa sjui umeishia wapi? Zis cantri bhana, michosho sana.
 
Usiwaze kuhusu mkongo wa taifa..tuna master plan ya kusamabaza wireless access kwa bei nafuu zaidi katika miji mikuu na sehemu zote ambazo unapita mkongo wa taifa..Airtel wanajitahidi but soon tutaanza kama ma Isp (internet service Provider)..
 
TTCL, apart from poor customer service and illiterate staff, have good, reliable modems and acceptable internet speed.
Works in urban areas mostly but under 'Banjuka' scheme can be quite cheap
 
labda kwa mikoani, kwa dar coverage is very poor na speed yao ni kobe.
 
vodacom ce1588 ndio yenyewe lipia tsh 30,000 unapatumia mwezi 1 un limited wengine wote wanauza bundle nimetumia zantel,tigo,sasatel na airtel ukidownload file kubwa inakula kwako
 
Usiwaze kuhusu mkongo wa taifa..tuna master plan ya kusamabaza wireless access kwa bei nafuu zaidi katika miji mikuu na sehemu zote ambazo unapita mkongo wa taifa..Airtel wanajitahidi but soon tutaanza kama ma Isp (internet service Provider)..
What a relief kwamba kuna wadanganyika bado wanaamini hizi ngonjera za magamba..
 
vodacom ce1588 ndio yenyewe lipia tsh 30,000 unapatumia mwezi 1 un limited wengine wote wanauza bundle nimetumia zantel,tigo,sasatel na airtel ukidownload file kubwa inakula kwako
Gozgoz tu haina ishu. Ukimaliza 1.5 GB, unlimited spidi ya 5-20kps si utafungua ukurasa wa 5mb kwa dk 5-10? Huu si UJUHA?? Kwa siku utafungua na ku-load kurasa ngapi?
 
TTCL, apart from poor customer service and illiterate staff, have good, reliable modems and acceptable internet speed.
Works in urban areas mostly but under 'Banjuka' scheme can be quite cheap
Information nilizonazo hawa nao hawana ishu. Wanazo nyaya lakini spidi wanabana..hawa ndio hopeless kabsaaaaaaa
 
Mkuu si kweli. Nimetumia sana broadband mimi na nimetumia pia usb modem zao (ninayo) speed ni safi sana jamani, shida yao ni coverage yao kuwa ndogo tu.
 
Mkuu ulieuliza hapa bila shaka jibu umelipata... kila mtu na lake so kajaribu zote na ww utapata ya kwako
 
Hallo wana jf katk mitandao yetu zain,voda na tigo je mtandao upi ktk matumiz ya modem anaeleweka kwa huduma nzuri na yauhakika?

tumia modem ya zain mkuu, 2500 unapata 400MB kutumia mwezi mzima, na kama ukiimaliza leoleo unaomba tena unapewa 400MB. mitandao mingine ni magumashi tupu
 
2500/= kwa 400MB??? sijaelewa mkuu.mbona katika zile bei zao wanasema kwa mwezi ni 75000/=.nielekeze vizuri hiyo ya 2500...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom