Usiwaze kuhusu mkongo wa taifa..tuna master plan ya kusamabaza wireless access kwa bei nafuu zaidi katika miji mikuu na sehemu zote ambazo unapita mkongo wa taifa..Airtel wanajitahidi but soon tutaanza kama ma Isp (internet service Provider)..Modem zote uchuro tu askudanganye mtu, kama tofauti ni ndogo sana.
Inashangaza,hatuelezwi kwanini bado hakuna makampuni ya kutoa kwa kutumia cables ambazo ni cheaper na mbwembwe za mkonga wa taifa sjui umeishia wapi? Zis cantri bhana, michosho sana.
Nunua modem moja ya ZTE vodacom kisha tumia line zote pamoja na airtel na tigo bila noma.
Ya nini kuwa na wasiwasi? itakayokuvutia hiyo hiyo!
TTCL, apart from poor customer service and illiterate staff, have good, reliable modems and acceptable internet speed.
Works in urban areas mostly but under 'Banjuka' scheme can be quite cheap
Umetumwa wewe siobure. Mi nakamua na internet ya TTCL mwaka sasa na hayo unayoyasema hayapo asilani!labda kwa mikoani, kwa dar coverage is very poor na speed yao ni kobe.
Hizo modem za ZTE zinapatikanika wapi?
What a relief kwamba kuna wadanganyika bado wanaamini hizi ngonjera za magamba..Usiwaze kuhusu mkongo wa taifa..tuna master plan ya kusamabaza wireless access kwa bei nafuu zaidi katika miji mikuu na sehemu zote ambazo unapita mkongo wa taifa..Airtel wanajitahidi but soon tutaanza kama ma Isp (internet service Provider)..
Gozgoz tu haina ishu. Ukimaliza 1.5 GB, unlimited spidi ya 5-20kps si utafungua ukurasa wa 5mb kwa dk 5-10? Huu si UJUHA?? Kwa siku utafungua na ku-load kurasa ngapi?vodacom ce1588 ndio yenyewe lipia tsh 30,000 unapatumia mwezi 1 un limited wengine wote wanauza bundle nimetumia zantel,tigo,sasatel na airtel ukidownload file kubwa inakula kwako
Information nilizonazo hawa nao hawana ishu. Wanazo nyaya lakini spidi wanabana..hawa ndio hopeless kabsaaaaaaaTTCL, apart from poor customer service and illiterate staff, have good, reliable modems and acceptable internet speed.
Works in urban areas mostly but under 'Banjuka' scheme can be quite cheap
Kwa nini? mbona mie natumia bila noumer? Tuambizane wapi shida.Mimi ninayo ya Voda lakini kuna wakati natamani kuipondaponda!
Mkuu si kweli. Nimetumia sana broadband mimi na nimetumia pia usb modem zao (ninayo) speed ni safi sana jamani, shida yao ni coverage yao kuwa ndogo tu.Information nilizonazo hawa nao hawana ishu. Wanazo nyaya lakini spidi wanabana..hawa ndio hopeless kabsaaaaaaa
Hallo wana jf katk mitandao yetu zain,voda na tigo je mtandao upi ktk matumiz ya modem anaeleweka kwa huduma nzuri na yauhakika?
tumia modem ya zain mkuu, 2500 unapata 400MB kutumia mwezi mzima, na kama ukiimaliza leoleo unaomba tena unapewa 400MB. mitandao mingine ni magumashi tupu