Kwa sasa Kiongozi wa CHADEMA huna ruhusa ya kutoka nje ya wilaya yako bila kiabali cha polisi, imethibitika kwa viongozi kushikiliwa kinyume cha sheri

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Jeshi la Polisi Wilaya ya Kasulu limenishikilia kwa muda wa saa 2 likinitaka kutoa Maelezo ya kwanini nipo Kasulu.

Nimeeleza kuwa nimeagizwa na Chama changu CHADEMA kuja kusimamia Uchaguzi wa chama ngazi ya Mkoa.

Hata hivyo OCD-KASULU amenitaka kuripoti Polisi kila siku mpaka Uchaguzi utakapofanyika lakini nikamkatalia kufanya hivyo kwani taarifa zangu za kuwa Kasulu anazo RCO-KIGOMA. OCD amepiga simu ili athibitishe kisha akaniachia.

Nimeshitushwa na wingi wa Askari waliokuja kunikamata tena kwa kutumia Magali Mawili na Ving'ola badala ya kwenda Doria katika Barabara ya Kasulu-Kibondo ambayo ina matukio mengi ya ujambazi!

Kwasasa natembea kwa Mguu kuelekea nilipofikia huku kundi la Askari lililokuwa limenizunguka likiniangalia kwa nyuma.

Elia F Michael
Diwani-Gwarama.
Mwenyekiti wa Madiwani Kanda ya Magharibi.
Mbunge nje ya Bunge.
 
Hali hiyo ina tofauti gani na 'apatheid regime' ya makaburu huko Afrika ya Kusini.

Ni vizuri kwamba hali inazidi kujipambanua bila kificho, ili wote waelewe hali halisi.

Endeleeni kuwaeleza waTanzania matukio yote yanayowapata, huenda siku moja mkapata huruma zao.
 
Pumbavu kila siku una habari za kukamatwa tu _
.single hii haina maana kwa awamu hii

Chadema wasipochukua hatua Kali wanakwenda kuisha kabisa.viongozi wao nchi nzima wanakamatwa na kulundikwa ndani, Kule njombe Emmanuel masonga Leo Siku ya Tatu kalundikwa ndani sababu haijulikani. Huku polepole Na bashiru wakitamba nchi nzima.
 
Hali hiyo ina tofauti gani na 'apatheid regime' ya makaburu huko Afrika ya Kusini.

Ni vizuri kwamba hali inazidi kujipambanua bila kificho, ili wote waelewe hali halisi.

Endeleeni kuwaeleza waTanzania matukio yote yanayowapata, huenda siku moja mkapata huruma zao.
Chadema wachukue hatua zaidi, sio kulalamika tu..
 
Jeshi la Polisi Wilaya ya Kasulu limenishikilia kwa muda wa saa 2 likinitaka kutoa Maelezo ya kwanini nipo Kasulu.

Nimeeleza kuwa nimeagizwa na Chama changu CHADEMA kuja kusimamia Uchaguzi wa chama ngazi ya Mkoa.

Hata hivyo OCD-KASULU amenitaka kuripoti Polisi kila siku mpaka Uchaguzi utakapofanyika lakini nikamkatalia kufanya hivyo kwani taarifa zangu za kuwa Kasulu anazo RCO-KIGOMA. OCD amepiga simu ili athibitishe kisha akaniachia.

Nimeshitushwa na wingi wa Askari waliokuja kunikamata tena kwa kutumia Magali Mawili na Ving'ola badala ya kwenda Doria katika Barabara ya Kasulu-Kibondo ambayo ina matukio mengi ya ujambazi!

Kwasasa natembea kwa Mguu kuelekea nilipofikia huku kundi la Askari lililokuwa limenizunguka likiniangalia kwa nyuma.

Elia F Michael
Diwani-Gwarama.
Mwenyekiti wa Madiwani Kanda ya Magharibi.
Mbunge nje ya Bunge.
Si ndio vizuri umepata ulinzi kama raisi mungu akupe nini tena!
 
Back
Top Bottom