Kwa sasa hivi naweza kupata nafasi chuo cha VETA Kozi ya Umeme miaka miwili Kigoma au Chato?

FredMaria

Member
Oct 2, 2020
53
55
Habar wana JF.

Kutokana na Mambo kuwa mengi huku mda ukiwa mchache nimejiiuta nachelewa kutuma maombi katika chuo chochote cha VETA nchini hususani Kigoma au Chato(ni kipya kinaanza kutumika mwaka huu) nimeingia kwenye website mbali mbali lakin sikufanikiw kupata mawasiliano na uongoz husika.

Elim yangu ni Form Six.

Kwa Yeyote mwenye taarifa zozote kuhusu wapi nafasi inaezapatikana anijuze Mimi naishi Kasulu Kigoma.

Natanguliza shukran
 
Sijajua
But mim nlisoma don bosco youth
Ni chuo kizuri mnoo
Karib kwenye ulimwengu wa matechinician mkuu
 
Back
Top Bottom