johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,904
- 141,856
Kiukweli kwa hawa wapinzani tulionao Tume Huru ya Uchaguzi itaendelea kuwa ndoto hadi pale CCM itakapotupa JK mwingine wa kuanzisha mchakato wa kutengeneza Katiba mpya.
Hakuna namna vyama vya upinzani vitaweza kushinda uchaguzi bila kuwa na Tume huru.
Sidhani kama CCM bado ina huruma au bado inaogopa Wafadhili kwani nijuavyo ni kwamba kwa sasa taifa letu linajitegemea.
Kwa NEC hii sitashangaa kuona Wapinzani wakikosa mbunge na diwani hata mmoja katika uchaguzi mkuu wa mwezi Octoba.
Na hapa asitafutwe mchawi bali wachawini wapinzani wenyewe.
Maendeleo hayana vyama!