Kwa sasa hakuna kama TIN WHITE na MKOJANI kwenye comedy

Nimejaribu kuangalia video zao nyingi walizoweka You Tube, hawa vijana wanatisha. Kwenye hii kolabo nammiss Ringo na Maufundi, wangewaongeza hawa mbona tungecheka hadi kuzimia
Mbona hoja yako inajipinga yenyewe kwann waongezeke ringo na maufundi wakati hao kina Tin white umesema hawana mpinzani yan wanajitosheleza
 
Mbona hoja yako inajipinga yenyewe kwann waongezeke ringo na maufundi wakati hao kina Tin white umesema hawana mpinzani yan wanajitosheleza
Tin na Mkojani wako vizuri sana kwa sasa, ila wakiongezeka hao wengine ni lazima waongeze kitu maana nao ni wachekeshaji wazuri na wamewahi kufanya kazi pamoja. Hakuna sehemu niliyoweka neno 'wanajitosheleza', hilo umeweka wewe
 
Back
Top Bottom