KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Hivi Tanzania ni Rafiki wa nchi gani za Africa na Nje ya Africa? enzi ya Nyerere tuliona Mozambique,Zambia, Namibia, Ghana, Zimbabwe, Shelisheli, Algeria na Botswana Nje ya Africa, Pakstan, Cuba, Venezuela, China, Urusi hiyo siyo ya sasa,
Na zaidi namaanisha urafiki wa nchi siyo urafiki wa nchi katika biashara!!ila katika tawala za baada ya Nyerere ni meshindwa kuelewa rafiki wa nchi yangu!
Na zaidi namaanisha urafiki wa nchi siyo urafiki wa nchi katika biashara!!ila katika tawala za baada ya Nyerere ni meshindwa kuelewa rafiki wa nchi yangu!