Kwa rasimu hii raisi kikwete kuongezewa mda.

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,532
1,124
UCHAMBUZI WANGU KUHUSU HOTUBA YA RASIMU YA KATIBA.
1.tanganyika sasa ipo ila hatima yake haipo
2.tume inaposema hili na lile si la muungano,KWANI ILITUMWA KWENDA KUTENGEZA KATIBA YA MUUNGANO NA SI VINGINEVYO?
3.hatima ya zanzibar ipo.KATIBA WANAYO
4.mwakani 2014 rasimu ya katiba ya muungano ikipita tutakuwa tumepata katiba ya muungano.

MASWALI MAGUMU
1.je uchaguzi 2015 utakuwa ni wa nafasi za muungano tu?
2.ni serikali gani itakayoendesha zoezi la kutengeneza katiba ya tanganyika na ni lini?
3.ni lini tutaanza kujadili mifumo ya utawala katika tanganyika yetu na hatima ya wakuu wa mikoa na wilaya?? pia serikali ya majimbo??

NAGUNDUA KUWA TUTAKUWA NA KATIBA MPYA YA MUUNGANO 2014.
ili mjadala wa katiba ya TANGANYIKA UWEPO WATALETA ILE HOJA YA KIKWETE KUONGEZEWA MDA.

maana hatuwezi kufanya uchaguzi 2015 na 2014.wakati
1.hakuna hatima ya mshirika mmoja wa muungano.TANGANYIKA
2.hakuna hatima ya serikali za mtaa ambapo hatima ya serikali za mtaa inatakiwa kuamuliwa na SERIKALI YA TANGANYIKA AMBAYO HAIPO.
 
kazi hapo ni kubwa kiini macho cha nyerere sasa kinaonekana kwa mawazo yangu zanzibar ni kama tumewakaribisha tu katika tanganyika ni kama vile mgeni amekuja kwako anafuata sheri zilizoko kwako akiondoka anatumia zilizo kwake...
 
Tume huru kwanza hayo mengine tutajazia tukisha piga kura na kupata Rais wa Halali!
 
kwakweli hii tume ya warioba imeniskitisha sana,kwanza tunatakiwa tupate katiba ya tanganyika kama zanzibar ili tuwe sawa then tutafute ya shirikisho.mr.dhaifu aondoke zake tulishamchoka.
 
Back
Top Bottom