Mpunilevel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 3,140
- 1,871
Wakuu viongozi wa Dola, heshima kwenu.
Kuna hili suala Kila siku mnahimiza wananchi kulipa kodi.
Ni jambo jema Sana, kwani kodi ni msingi wa maendeleo kwa serikali bora, serikali inayotumia vizuri mapato ya kodi.
Nimejaribu kifupi kufuatilia maagizo yenu juu ya msisitizo kwa walipa kodi.
Ukiacha mashine za ki electron(Efd) ambazo ni chache mpaka Sasa nchini bado malipo ya serikali yanapotea Sana.
Wengi Vijijini wanapewa Risiti za cash sale ambazo hazina Tin number, ni kosa kubwa la upotevu wa mapato ya serikali.
Nashauri elimu itolewe na mamlaka ya walipa kodi juu ya halali ya skakabadhi halali ya mlipa kodi
Lifanyike zoezi adilifu, la ulipaji kodi kwa serikali kwa nyaraka halali za serikali.
Uandishi una utata, lakini huku vijijini tunapewa cash sale zisizo na Tin number, fanyieni Kazi mchango huu.
Vijini serikali inapigwa Sana through cash sale