Kwa Rais Magufuli tu - Must Read 2017

Sihitaji jua km upo upande wangu au lah.ILA DHANA KWAMBA WATENDAJI NDIO HAWAN AUWEZO WA WAKOSEFU SIIPENDI INAPOTOSHA WATANZANIA SANA.BORA USIITUMIE KABISA KM HUONI HASARA YAKE.HAKUNA ALIYEKULAZIMISHA IWEKA. NI TABIA SIKU HIZI HATA WANASIASA KUONGEA VITU NYENYE UJUMBE MWINGINE NA KUINGIZA JINA LA MUNGU KIRAHISI TUU.HIYO DHANA YA WATENDAJI KUWA SHIDA IMESHAPOTOSHA SANA WATANZANIA NA WANAFIKI WANAIFAIDI SANA KUJIPENDEKEZA KWA WALENGWA.

Mada yetu ambayo imeelekezwa kwa Rais Magufuli iko tofauti sana na unachoandika ukiitazama kiujumla wake.

Labda uanzishe mada ya hili unalozungumzia halafu wadau watachangia na kuelimishana.
 
Acha urongo...mimi ni mtumishi wa umma na ninampenda mpaka wakati mwingine nakosa balance hata nisione makosa dhahiri yanayofanyika....Wasiompenda ni wale ma bwanyenye miungu watu waliokuwepo kwenye ofisi za umma...Be informed...Fanya utafiti uone!
Sasa kumbe nikwasababu unampenda mwambie akuoe basi maana inaonekana hata akikuomba tako utatoa tuu maana autaelewa ata umkataliaje
 
Sasa kumbe nikwasababu unampenda mwambie akuoe basi maana inaonekana hata akikuomba tako utatoa tuu maana autaelewa ata umkataliaje
Inavyoonyesha una stress sana...relax life is so sweet usipokuwa na bitterness... Pole mweeh!
 
Back
Top Bottom