Kwa raha zake anafuatilia game | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa raha zake anafuatilia game

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mzito Kabwela, Dec 16, 2010.

 1. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,700
  Trophy Points: 280
  <FORM class="commentable_item comment_form_492512529232" id=commentable_item_1700816441 name=add_comment onsubmit="return Event.__inlineSubmit(this,event)" action=/ajax/ufi/modify.php method=post ajaxify="1">[​IMG]
  full kujiachia  [​IMG]WABONGO WAMEJIACHIA TAIFA KUSHUSHUDIA WAVUVI WETU

  [​IMG]yaani shwari kabisa ukitaka hata kusimama juu ya viti poa tu, lakini je na majumbani pia tuna mikao hii?
  [​IMG]
  kwa raha yake akifuatilia game taaaaraaatiiiiiibuuuuuuu, miguu juu shida ya nini!!!!


  </FORM>
   
 2. Nchi Kavu

  Nchi Kavu JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 3,520
  Likes Received: 1,041
  Trophy Points: 280
  Ndio maana viti vilivunjika! Hawa ndio watanania bwana
   
 3. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Naomba ufafanuzi hapo kwenye red, tafadhali!
   
 4. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mguu juu hakuna noma, ila shida inakuja kwa majirani kama soksi ni zile za kutoa harufu, zile zinazovaliwa miaka nenda rudi bila kujua maji LOL
   
 5. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,926
  Trophy Points: 280
  wawe wanapigwa hizi picha alafu wanazitoa kwenye luninga au kwenye magazeti ili hawa watu wafuatiliwe...shule ni kitu muhimu sana..hapo yeye kazoea vitivya kilabuni tatizo..
   
 6. Kibaraka

  Kibaraka JF-Expert Member

  #6
  Dec 16, 2010
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila kitu Wabongo tunakimiss use.
   
Loading...