Kwa poor performance aliyonayo kipa Emmanuel Msejja kwa nini hakutemwa dirisha dogo? nani anambeba?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Kiukweli ni aibu kwa timu kubwa kama simba kwa na golikipa dhaifu, mwenye kiwango kidogo kuliko! Kama Emmanuel Mseja. Makipa wenye kiwango kama cha Huyu kipa tunao wengi hata katika timu za vijiji hapa nchini!
Kwa aina hii ya udakaji harafu bado yuko simba na anakula mshahara ni dhahiri kuwa kuna watu wanambeba kwa maslahi yao binafsi

Nawasilisha
 
MSEJA nahisi UBONGO wake hauko sawa..........aelewi anachokifanya: na sijui SIMBA ni vigezo gani walivitumia kumsajili
 
Ubora wake ulionekana akiwa Mbao fc
Toka asajiliwe hakapewa nafasi ya kucheza mpaka AISHI MANULA alipoenda KUOA.

Ubovu wake umeonekana akiwa Simba sc
Baada ya kupewa nafasi Mapinduzi cup.

I seee mbona RAMADHANI KABWILI yupo poa
 
IMG-20180107-WA0001.jpg
et halafu wanamwita goolkipa chipukizi. kweli mikia mbumbumbu fc
 
Taitzo la kipa ni dogo sana kwa simba. Niliandika mara nyingi sana kama mwezi mmoja uliopita hapa jamvini lakini nilishambuliwa sana na wadau.

tatizo la kubwa la simba lilianzia pale walipomtimua mayanja na kumuacha Omog halafu wakaja tena kumtimua Omog badala wamrudishe Mayanja kwa muda mpaka ligi iishe mwakani watafute kocha mwingine viongozi wakalikoroga tena wakamuachia timu djuma. timu inamiliki mpira sana (kwenye mechi karibu zote za mapinduzi ilimiliki mpira vizuri) lakini haina mbinu za kufunga na haina mtu wa kabadilisha matokeo muda wowote kama alivyo okwi

Tatizo kubwa la pili la simba ni kuwa hawana mshambuliaji wa kati atakayempa changamoto boko. Kabla ya dirisha dogo niliandika hapa kuwa simba ina mshambuliaji mmoja tu wa kati wa maana ambaye ni boko hivyo ilihitajika haraka sana watafute mshambuliaji analiyejua goli kwa kichwa, miguu yote miwili na hata sarakasi ili mradi purukushani mpira uingie ndaini badala yake wakaenda kuwekeza kwa kwasi na sasa wanavuna walichopanda. na nilisema hapa waongeze mshambuliaji mmoja wa ndani na mwingine wa nje. nilisema okwi ni winga, gyan ni winga (na imethibitika zanzibar), mavugo ni winga na luizio atolewe kwa mkopo arudishe kwanza kiwango chake kwani tangu aumie hajapata muda mrefu wa kucheza hayo yote yalipuuzwa.

Tatizo kubwa la tatu kwa simba nilisema ni fittnes ya wachezaji wanacheza vizuri dakika 60 tu baada ya hapo kila mtu anajua nini hutokea wanapokutana na timu zilizo na stamina, pumzi na kucheza kwa nguvu nikatoa mfano wa prison. hili pia limetokea kwenye FA cup walipotolewa na timu ya jeshi sijui ipo daraja la ngapi vile.

Kiujumla simba kuanzia golini, beki, katikati na hata winga ipo vizuri shida kubwa ni kocha djuma aondolewe arudishwe mayanja na kamati ya usajili ifutwe kwa sababu walipaswa kutafuta mtu wa kuwa anafunga tu wao wakaleta beki. Pia wachezaji wanaonekana hawana fighting spirit hapa ndio unaona umuhimu wa kuwa na kocha msaidizi matola au julio. kwenye mpira saa nyingine inahitajika kuhamasisha wachezaji wapambane wala sio ufundi ndio maana unaweza kuona timu ya hovyo inampiga barca au madrid.

Kwa mwenendo nina wasiwasi ubingwa tutausikia tena.
 
Safi sana, wewe unaujua udhaifu wa Simba.
 
Emanuel Mseja
Ni golikipa Mzuri sana.
Tatizo liko kwa wachezaji
1. Hawana mfungaji mahili wa magoli
2. Hawajitumi kushambulia kwa nguvu.
3. Wanaishiwa pumzi haraka
4. Hawafungi magoli mfano jana na juzi Simba ingeweza kushinda kwa 3-1 au 2-1
5. Simba haina wafungaji magoli wa uhakika vijana wenye nguvu, Bocco ni mtu mzima hana kasi Okwi ndio walewale.
5. Mabeki wana kawaida ya kujisahau. Angalia goli la Azam, URA na La Chirwa la kusawazisha kwenye Ligi.
Timu haifungi magoli tunamlaumuje Kipa
Emanuli Mseja ?
Inamaana mlitaka mechi zote ziwe 0 - 0 yaani bila bila ?
Kipa asifungwe na timu isifunge.
Timu zinazifunga nazo zinafungwa pia ila zinazidi magoli yaani matokeo yanakuwa 4-2, au 3-1 au 2-1.
Kipa mseja ni mzuri kwani hata Manula naye anafungwa tena magoli rahisi kabisa.
Goli la Azam na URA kipa yeyote yule anafungwa pia kumbukeni hizo timu zimeshawahi kuifunga Simba na Mseja hakuwepo Langoni.

Simba tatizo ni WAFUNGAJI magoli na sio KIPA.

Asante Kwasi.
 
Hii timu ya Simba inabidi Waite hata Kambale tu mana wanamshushia heshima Mwenye jina lake..,
 
Back
Top Bottom