Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,205
- 4,695
"First day in office today for the new Office Assistant in Kabul"!
Kwa hiyo marekani baba wa demokrasia kasepa mchana kweupe huku jamaa wakiikanyaga demokrasia live kwa kumkimbiza rais ikulu kwa risasi...waafrika hasa wanaharakati wajifunze marekani sio mtu wa kumshobokea.
Kwa dunia hii US, ni kama maji huwezi ukamkwepa kamwe!!labda akupotezee tu, lakini akuamulie tena kama hizi nchi zetu za kiafrika !!mwaka mmoja tu, ni mrefu mtatafutana!!!Kwa hiyo marekani baba wa demokrasia kasepa mchana kweupe huku jamaa wakiikanyaga demokrasia live kwa kumkimbiza rais ikulu kwa risasi...waafrika hasa wanaharakati wajifunze marekani sio mtu wa kumshobokea.
Nisaidie kuelewa inakuaje marekani na jeshi lake yupo Afghanistan halafu anaruhusu serikali iliyochaguliwa kidemokrasia kwa kura kuondolewa? Wameruhusu ama wamewasusia nchi watajijua wenyewe?Naam, tuendelee kushobokea kura za kwenye mabegi.
I see..na kwa Afghanistan unaweza nisaidia ni ipi approach ya usa wamewaruhusu taliban ama wameisusa nchi? Ama wana mkakati kiporo wa siku zijazo?Kwa dunia hii US, ni kama maji huwezi ukamkwepa kamwe!!labda akupotezee tu, lakini akuamulie tena kama hizi nchi zetu za kiafrika !!mwaka mmoja tu, ni mrefu mtatafutana!!!
Hawa machoko inabidi wafumuliwe hiyo mitaro yao ndio watie adabu, kwanini wanatesa wananchi namna hiyo?!
Miaka 20, marekani na ulaya yote wameshindwa nini kuwaangamiza Taleban?Kwa dunia hii US, ni kama maji huwezi ukamkwepa kamwe!!labda akupotezee tu, lakini akuamulie tena kama hizi nchi zetu za kiafrika !!mwaka mmoja tu, ni mrefu mtatafutana!!!
I see..na kwa Afghanistan unaweza nisaidia ni ipi approach ya usa wamewaruhusu taliban ama wameisusa nchi? Ama wana mkakati kiporo wa siku zijazo?
hapo hata maneno ya kuelezea yanaisha
Nisaidie kuelewa inakuaje marekani na jeshi lake yupo Afghanistan halafu anaruhusu serikali iliyochaguliwa kidemokrasia kwa kura kuondolewa? Wameruhusu ama wamewasusia nchi watajijua wenyewe?
Nahisi ni mtego! Kwanini US wanasaidia kuwaondoa raia na kuwatafutia hifadhi maelfu kwa ma elfu!!? Kwanini haachi uwanja wa ndege!!? Kwanini ameongeza wanajeshi 1000?Nisaidie kuelewa inakuaje marekani na jeshi lake yupo Afghanistan halafu anaruhusu serikali iliyochaguliwa kidemokrasia kwa kura kuondolewa? Wameruhusu ama wamewasusia nchi watajijua wenyewe?
Sasa kwa miaka 20, una wajengea uwezo wenye nchi ili waweze kujirinda, lakini bado hawaeleweki unafanya nini?watalibani hawazidi 70, 000!!nyie mna jeshi la watu 200, 000 vifaa vya kisasa lakini, limejaa mamluki tu, na ndio maana US, ameona hata aendelee kukaa hapo miaka 50!!bado akiondoka kinachotokea sasa kitatokea tu.I see..na kwa Afghanistan unaweza nisaidia ni ipi approach ya usa wamewaruhusu taliban ama wameisusa nchi? Ama wana mkakati kiporo wa siku zijazo?