Kwa Picha: Siku ya Kwanza Ofisini Mhudumu wa Ofisi Afghanistan Mpya

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
12,024
2,000
Nisaidie kuelewa inakuaje marekani na jeshi lake yupo Afghanistan halafu anaruhusu serikali iliyochaguliwa kidemokrasia kwa kura kuondolewa? Wameruhusu ama wamewasusia nchi watajijua wenyewe?
Taliban wamemechukua madaraka baada ya Marekani kuamua kuondoka. Marekani wasingeondoka, Taliban wangeenedelea kuishi milimani tu.

Kinachokatisha tamaa ni kuwa baada ya miaka 20 (yaani mtoto aliyezaliwa wakati vita inaanza, leo hii yuko College), marekani ilifundisha askari 300,000 wa afghanstani na kuwapa silaha za kisasa. Baada ya Marekani kuondoka, hao askari laki tatu wakakimbia kutoka makambini kwao na kuacha silaha zote zichuliwe na talibani bila hata kupigana. Inawezekana kabisa kuwa baadhi ya hao askari waliofundishwa na Marekani walikuwa ni wanachama wa taliban, kwani isingekuwa rahisi Talibani atoke milimani na kuanza kuendesha zile humvee za Marekani mara moja kwa vile yale siyo magari ya kiraia, controls zake ni complex kidogo kwa vile zinaingiliana na weapon systems za gari lenyewe inabidi mtu afundishwe namna ya kulitumia bila kurusha makombora hovyo hovyo.
 

Vesuvius

JF-Expert Member
Jun 27, 2021
572
1,000
Taliban wamemechukua madaraka baada ya Marekani kuamua kuondoka. Marekani wasingeondoka, Taliban wangeenedelea kuishi milimani tu.

Kinachokatisha tamaa ni kuwa baada ya miaka 20 (yaani mtoto aliyezaliwa wakati vita inaanza, leo hii yuko College), marekani ilifundisha askari 300,000 na kuwa silaha. Baada ya Marekani kuondoka, hao askari laki tatu wakakaimbia kutoka makambini kwao na kuacha silaha zote zichuliewa na talibana bala hata kupigana. Inawezekana kabisa kuwa baadhi ya hao askari waliofunisha na Marekani walikuwa ni wanachama wa taliban, kwani isingekuwa rahisi Talibana atoke milimani na kuanza kuendesha zile humvee za Marekani mara moja kwa vile yale siyo magari ya kiraia, controls zake ni complex kidogo kwa vile zinaingiliana na weapon systems za gari lenyewe
Asante sana kwa darasa hili
 

Mawembasa1979

JF-Expert Member
Feb 26, 2015
1,344
2,000
Mkuu ni hivi USA amekaa na jeshi la afghanistan kwa miaka 20. Na wamewatrain vya kutosha so Trump alipoingia akaandaa utaratibu wa kuwatoa majeshi ya USA Afghanistan . Na ndio hicho kinavhoendelea sasa kwamba waachie nchi wanaweza kuiendesha wenyewe maana majeahi ya Afghanistan ni wengi kuliko Taliban . Ila sasa kilichotokea ni unexpectadly Taliban wamechukua nchi mapema sana
Rais Biden wa USA ameeleza kwa undani kuwa Wanajeshi wa Afghanstan pamoja na viongozi wao waliwaachia Wamarekani shughuli ya kupigana na Taleban halafu wao wakawa wanaponda raha tu. Hivyo, amesema hawezi kuendelea kuona damu za Wamarekani zikimwagika huku Waafghastan wakijifanya hawajui majukumu yao. Ndio maana amewaacha Taleban wawachachafye vilivyo.
 

1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
5,200
2,000
H
Mkuu ni hivi USA amekaa na jeshi la afghanistan kwa miaka 20. Na wamewatrain vya kutosha so Trump alipoingia akaandaa utaratibu wa kuwatoa majeshi ya USA Afghanistan.

Na ndio hicho kinavhoendelea sasa kwamba waachie nchi wanaweza kuiendesha wenyewe maana majeahi ya Afghanistan ni wengi kuliko Taliban . Ila sasa kilichotokea ni unexpectadly Taliban wamechukua nchi mapema sana
[/QUOTE

Tatizo waliajiri wasomi wakijua watamudu kulinda nchi.
Hakuna msomi na tajiri anayekubali kufia nchi.
Nigeria walisumbuliwa sana na Boko Haramu kwa sababu Jeshi lilijaa wasomi watupu. Wanawaza heshima na mali sio kwenda porini kupambana na magaidi.
Baadae waligundua na kuajiri vijana wasio na ili wapiganie nchi kwa nafsi zao kwa ujira
 

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,083
2,000
..mapesa waliyopoteza Wamarekani Afghanistan ni mengi mno.

..mapesa hayo wangeyatumia nchini kwao, au katika nchi za Afrika, na Amerika ya Kusini, naamini kungekuwa na matokeo yenye tija zaidi.

..Nadhani muda umefika kwa Wamarekani kuifumua sera yao ya mambo ya nje, na kutafakari kuhusu ushiriki wao kijeshi ktk maeneo mbalimbali nje ya Marekani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom