Kijogoodi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 1,363
- 2,372
- Thread starter
- #21
Safi mkuuYuko rc mmoja anaendeleza akili zile ambulance za miguu mitatu aka ambulance gutta. Abajitoa ufahamu kwamba hatumia Vx na kiyoyozi. Mawazi tu ndio wenye hiyo stahiki. Hawa wsindio wamsaidie Mh Mama SSH. Huwezi kutaja Mafanikio ya JPM ukaacha kumtaja Mh PM Majaliwa. Wako na wengine wasaidizi wa mkono wa kuume wa JPM. Siku maji yakiwafika shingoni watachomoka mmoja mmoja ili kuhesabiwa.