kwa nyie mliooa,mmewezaje kuachana na wanawake wenu wa zamani?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
1,147
2,745
wakuu shikamoon?
hivi, nyie mliioa, mmewezaje wezaje kuachana complete na wanawake wenu wengine wa zamani?maana napata wakati mgumu sana kuanza kuwapotezea wanawake wangu wa zamani.
 
Oa kwanza ndo utajua tatizo ulio wauliza na ww ulivyo ni vitu 2 tofauti
 
Sasa kama unaweza kutembea na wanawake wengi, kwann usiweze waacha wote ukatafuta mmoja ukamuweka ndani akawa wako wa milele.

Itakupunguzia stress nyingi sn.
 
Sasa kama unaweza kutembea na wanawake wengi, kwann usiweze waacha wote ukatafuta mmoja ukamuweka ndani akawa wako wa milele.

Itakupunguzia stress nyingi sn.
Wanaume wanalalamika mwanamke akisha olewa hatoi service kama ile service ya mchepuko..
 
1.Tosheka na mwanamke uliyeamua kumuoa
2.Soma biblia takatifu ufahamu zaidi kuhusu ndoa ilimaanishwa iweje
 
Hawara hana talaka. Unapaswa uitumie akili yako kwa kiwango cha juu sana ili kwenda na hali. Ni kama uamuzi wa kuacha kunywa pombe au kuvuta sigara. Yote yapo mikononi mwako na akilini mwako.
 
Uamuzi ni wako, kama umeamua kuingia kwnye ndoa takatifu basi na ya dunia uyaache. Kama hvyo vya zamani huwezi kuviacha basi endelea kupambana navyo mpk hamu iishe kabisa. Hakuna kushika mawili kwenye Ndoa takatifu
 
pole dogo......oa kwanza.....kuwa wanawake wastaarabu...akishajua umeoa na yeye anajua hana lake huyooo.....kuna ving'ang'a,,,,hao ndio shida......ila ukiamua unaweza...unawahifadhi kwenye ghala la taifa......viporo.....muhimu nalo
 
Write your reply...mwanamke aachwi anawekwa reserve for future use pale ambapo access ya papuch imemuwa shortage or unavailable so usimwambia sikutaki wala tuachane sepa kimyakimya
 
Back
Top Bottom