Kwa NSSF yangu Kukataliwa na Serikali bila Ridhaa yangu SIUNGI MKONO CCM na Serikali YAKE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa NSSF yangu Kukataliwa na Serikali bila Ridhaa yangu SIUNGI MKONO CCM na Serikali YAKE

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by fikirikwanza, Aug 6, 2012.

 1. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kwa wale ambao masuala haya yametuathiri kwa kiasi kikubwa, wale wenye mikataba ya ajira kwa vipindi maalum. Je bado kuna haja ya kuunga mkono CCM na Serikali yake?


  Mimi siungi mkono hata kidogo. TUMEDHARAULIWA VYA KUTOSHA, TUMEONEWA na KUIBIWA VYA KUTOSHA, SASA TUTAPINGA KWA NGUVU NA AKILI ZETU ZOTE DHURUMA HII NA UONEVU HUU.

  Nawasilisha
   
 2. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Kama unapinga kweli basi pinga kwa VITENDO. Nenda kwenye BLOGS ya JJ Mnyika utoe mawazo yako.
   
 3. K

  Kakubilo Kasota Senior Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu, mbona umechelewa sana kufanya maamuzi ya kukichukia hiki chama? ungeg=fanya maamuzi siku nyingi huenda Dr wa ukweli saa hizi angekuwa state house, ona sasa kuchelewa kwako we na wengine tumeyapata haya, anyway, Watanzania wenzangu, hivi magamba watushike sehemu gani ndo tujue hawatupendi?
   
Loading...