Kwa nn Wanawake wana maswali mengi sana??

Boflo yaelekea uliuzwa maswali mengi mpaka ukaja na avatar hii "nimempata kwa tabu shikeni adabu zenu"
 
nilikuwa ninajaribu kuchunguza kwa nini wanawake wanakuwa na

maswali mengi sana nikakutana na hilo jibu hapo juu kuwa wana

Chromosome(dna za maswali) za ziada kupita wanaume

Wana jf mna maoni gani? Hasa wadada ndio mngeweza kutufafanulia

vizuri

Kwasababu wana element nyingi za upolisi. Reference............unamaswali mengi kwani we ni polisi
 
cos wanaogopa kudanganywa , lazima ajipange na ajue ukweli ,ata haisaidii ,cos wanaume hodari kwa hilo anaweza kuonesha nyumba ya waziri ndio akasema yake ,,lol
 
ukisafiri kiofisi utasikia unasafiri na nani, unapigiwa simu unaulizwa sasa hivi uko wapi
 
Back
Top Bottom