Kwa nn baadhi ya wanawake wakipata pesa zaidi ya mumewe..........

MATOLA....Ni kweli kanunua gari tayari na naliona lina park jion na kuwashwa asubuhi kaka.......na kama nilivyosema hapo juu kuanzia mwanzo mikakati yote kuhusu huo mkopo tulikaa wote pamoja na tukakubaliana kwa pamoja kwamba we are going to do ONE,TWO AND THREE.........Lakini baada ya kuupata tu mambo yakawa UPSIDE DOWN........and she never cares
 
mmmh wewe kaka wewe ..... loh am speechless kwa kweli ..... umewekwa kwenye chupa au?
 
Smile jana tu tayari nilimsikia akiweka order ya gawn kuwa next week anasimamia harusi...........ambayo I have never heard it before
 
MATOLA....Ni kweli kanunua gari tayari na naliona lina park jion na kuwashwa asubuhi kaka.......na kama nilivyosema hapo juu kuanzia mwanzo mikakati yote kuhusu huo mkopo tulikaa wote pamoja na tukakubaliana kwa pamoja kwamba we are going to do ONE,TWO AND THREE.........Lakini baada ya kuupata tu mambo yakawa UPSIDE DOWN........and she never cares
Kwa mimi ambaye namiliki gari/magari tangu mwaka 1997, ninakwambia huyo mke wako hajui lolote kuhusu kumaintain gari, yeye anadhani kuvaa miwani ya juwa na kukoleza lipstic huku yupo kwenye kiyoyozi basi amemaliza!!

Kwa mwanamke Mbumbumbu kama amenunuwa gari na wewe hauna usikubali kujidharirisha, wake up ur mind, maisha yako yasiwe tegemezi kwake kiasi kwamba bila yeye hakuna maisha huko ni kutoitendea haki nafsi yako mwenyewe.

Nijibu kwanza maswali haya hili tufikie conclusion ya kesi yako bila kupoteza muda;
1. What is your source of income?
2. Mnaishi nyumba ya kupanga au mnaishi kwenye nyumba yenu?
3. Mmefunga ndoa kanisani/ msikiti/ serikalini?
4. Je mmejaliwa kupata watoto? kama ndiyo ni wangapi?
5. If u don't mind, unaweza kutaja kabila la mke wako na kabila lako?
6. Je mke wako ana kiwango gani cha Elimu?

Majibu ya hapo juu ndio yatakayoleta conlusion ya haraka katika kesi kama hii ya kwako. sometime i beleive huwa tunacreate wenyewe Timer explode bomb!!
 
Pole.Bt kukaa kimya sio soln,Tafuta muda mkae mlizungumzie hilo swala kabla hali haijawa mbaya zaidi. Mkopo kauchukua yeye lkn akivurunda inakula kwenu nyote.
Wanawake sisi bwana!!!!
 
Nakwenda offline mara moja kuna demu nimemtumia vocha jana usiku naona saa hizi ananibeep ngoja nimpakie maneno yake nitarudi hapa. ngoja kwanza nikomeshe tabia mbovu upande wangu halafu nitarudi hapa kuchangia.
ahahaaa hapo kaingia choo cha wazee ....
 
MATOLA....Ni kweli kanunua gari tayari na naliona lina park jion na kuwashwa asubuhi kaka.......na kama nilivyosema hapo juu kuanzia mwanzo mikakati yote kuhusu huo mkopo tulikaa wote pamoja na tukakubaliana kwa pamoja kwamba we are going to do ONE,TWO AND THREE.........Lakini baada ya kuupata tu mambo yakawa UPSIDE DOWN........and she never cares
yaani maelezo yako hayatofautiani na kaka mmoja hivi,na yeye alikubaliana na mke wake kuhusu mkopo,matokeo yake mke kapata kanunua gari,nyodo zimekuwa nyingi mno.hiyo gari bwana haipandi.hizi ndoa hizi,ingawa wanawake wengi hulalamika,ila wapo wanawake ambao,huwapa mateso waume zao.maana huyo kaka,saa nyengine mbele za watu huumbuliwa na mke wake.huyo kaka ni mkimya,mke maneno mtindo mmoja,na wako ofisi moja.kuna siku alikunjwa shati mbele za watu na mke wake.just imagine
 
mmmh wewe kaka wewe ..... loh am speechless kwa kweli ..... umewekwa kwenye chupa au?

Huyu bado ana akili zake timamu angewekwa kwenye chupa hata akili za kuomba ushauri asinge zipata. Ila huyo mwanamke kiboko na sijuianaupatia wapi ujasiri ...kununua gari na kuliketa nyumbani mume hana tarifa!!! For sure u really need to wake up bro
 
Anaye chukua mkopo yenye interest ni sawa sawa na mtu anaye pigana vita na mungu, kama anabisha akasome vitabu vya dini atapata jibu.

Mimi nashangaa kuona mtu ana ringa anajidai anapesa au kajenga nyumba wakati ana deni la bank...Hajui maisha yake anapigana vita na mungu...Pesa ya bank ni haramu as long ina interest na ataendelea kuishi kiharamu tu...mtu wa namna hio nikumpa pole mana anapigana vita na mungu hajijui :A S thumbs_down:
 
haya siyaafiki ..... haya peleka saudi arabia huko....
 
Kuna jukwaa la dini nenda kule utakutana na wafia dini wenzako, hapa usituzingue pls!!....watu wengine akili ukwaju kwelikweli. Phweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
matola ,matola... ahahaaaa unatumia cha arusha kaka? relax bwana usipate ban nikokosa uhondo bure hapa...mpotezeee
 
Kuna jukwaa la dini nenda kule utakutana na wafia dini wenzako, hapa usituzingue pls!!....watu wengine akili ukwaju kwelikweli. Phweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
Hapo nimetoa point zangu navyo ona mimi sidhani ukitoa point ya dini umeisha kuwa unaongelea dini...wewe akili zako ndo ukwaju.

Afu mbona umehamaki unadaiwa bank nini hahaha.
 
Kwa mimi ambaye namiliki gari/magari tangu mwaka 1997, ninakwambia huyo mke wako hajui lolote kuhusu kumaintain gari, yeye anadhani kuvaa miwani ya juwa na kukoleza lipstic huku yupo kwenye kiyoyozi basi amemaliza!!

Kwa mwanamke Mbumbumbu kama amenunuwa gari na wewe hauna usikubali kujidharirisha, wake up ur mind, maisha yako yasiwe tegemezi kwake kiasi kwamba bila yeye hakuna maisha huko ni kutoitendea haki nafsi yako mwenyewe.

Nijibu kwanza maswali haya hili tufikie conclusion ya kesi yako bila kupoteza muda;
1. What is your source of income?
2. Mnaishi nyumba ya kupanga au mnaishi kwenye nyumba yenu?
3. Mmefunga ndoa kanisani/ msikiti/ serikalini?
4. Je mmejaliwa kupata watoto? kama ndiyo ni wangapi?
5. If u don't mind, unaweza kutaja kabila la mke wako na kabila lako?
6. Je mke wako ana kiwango gani cha Elimu?

Majibu ya hapo juu ndio yatakayoleta conlusion ya haraka katika kesi kama hii ya kwako. sometime i beleive huwa tunacreate wenyewe Timer explode bomb!!

1.my source income ni monthly salary
2.Tunaishi nyumba ya kupanga
3.Ndoa ya kanisani
4.Tuna mtoto mmoja
5.Kabila lets put in brackets
6.Ana elimu ya certificate
 
Tabia halisi ya Mtu utaijua once akikamata Pesa

Kwa kesi yako Great Thinker Runners, huyo mwanamke hana mapenzi na wala heshima wewe kabisa, hiyo ni fact na lazima uikubali,
alikuwa anapretend kwa sababu alikuwa hana kitu, na sasa kapata cha ziada(Kukuzidi) ndio anaonyesha rangi yake halisi

Angalizo ninalokupa ni kwanza kufatilia huo mkopo kaupata kwa njia gani, kama ni mshahara wake sawa, lakini kama kuweka mali zenu za kifamilia (Nyumba, Fenicha nk), hilo lazima ulifatilie hata kwa mawakili ili iwe sawa, isije siku ukajikuta unalala nje bila kupanga

ushauri
ukali wa kiume kama kiongozi wa nyumba lazima ufanyike, kama mlijiwekea utaratibu wa kufika nyumbani mapema na mwisho wa kuchati na simu basi simamia hilo kwa nguvu zako zote, Kama alikuwa ndio muandaaji wa chakula basi simamia hilo pia,
Jaribu kuwa kwenye mistari ambayo hata kama mna watoto waweze kujua position yako na mamayao ikoje
 
1.my source income ni monthly salary
2.Tunaishi nyumba ya kupanga
3.Ndoa ya kanisani
4.Tuna mtoto mmoja
5.Kabila lets put in brackets
6.Ana elimu ya certificate
mwambie arudi kuishi kwao miaka miwili ajifunze adabu...
 
Back
Top Bottom