Elections 2010 kwa nini ?

Kana Amuchi

Member
Jul 21, 2009
70
15
Kwa nini majimbo ambayo CCM wanashinda yanatangazwa mara moja na yale ambayo wameshindwa hayatangazwi? kuna nini? ina maana hadi muda huu hakuna hata jimbo moja limetangazwa kuwa wameshindwa baada ya lile la Musoma?
 
kwa nini majimbo ambayo ccm wanashinda yanatangazwa mara moja na yale ambayo wameshindwa hayatangazwi? Kuna nini? Ina maana hadi muda huu hakuna hata jimbo moja limetangazwa kuwa wameshindwa baada ya lile la musoma?

Yawezekana wanahesabu upya Mtatangaziwa baada ya NEC kujirizisha
 
Kwa nini majimbo ambayo CCM wanashinda yanatangazwa mara moja na yale ambayo wameshindwa hayatangazwi? kuna nini? ina maana hadi muda huu hakuna hata jimbo moja limetangazwa kuwa wameshindwa baada ya lile la Musoma?

MKUU, jimbo la kwanza kutangazwa matokeo rasmi ni Musoma Mjini; je ni CCM ndio wameshinda?
 
Back
Top Bottom