Kwa nini Zanzibar in watu wachache lakini wabunge wengi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini Zanzibar in watu wachache lakini wabunge wengi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Didia, Feb 8, 2011.

 1. Didia

  Didia JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 721
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45


  Nguli wa kufikiri. Naomba nisaidiwe kujua vigezo vinavyotumiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kugawa majimbo nchini. Zanzibar inawatu wachache kuliko hata DSM lakini ina wabunge wengi katika bunge la muungano kuliko Mkoa wa DSM. Kwanini Zbar inawakilishwa na wabunge wengi (katika uwiano wa watu) kuliko bara? Je hatuoni haja ya kuliangalia swala hili upya?
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hapo ndipo penye "Myth of Representation in AFRICA". Hakuna aliye tayari kulizungumzia hilo kwa sasa kwa wale wanaonufaika na mpango huo! Jaribu uone kama hutasikia hiyo ni nchi yenye mamlaka yake kamili!
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Na licha ya kuwa na vimajimbo vidogodogo(kijiogrsfia) vinavyotawalika kirahisi, bado Wazanzibari wengi ni masikini hohehahe wanaoshindia mlo mmoja ulio substandard?

  miundo mbinu ya Zanzibar ni mibovu kuliko maelezo: si majengo, si barabara, si anga.

  why?
   
 4. HeartBreak

  HeartBreak JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2011
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ndio maana tunataka katiba mpya!!!! hili tujipange kivingine
   
 5. sijuikitu

  sijuikitu JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zanzibar ni nchi nyingine.....huu muungano ni changa la macho tu.
   
 6. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wale siyo wabunge kibara ni sawa na madiwani ukubwa wa jimbo zanziba ni sawa na kata kwa bara
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  hivi huu muungano uliandikwa wapi? kuna any document kuthibitisha hii myth?
   
 8. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mbunge mmoja wa zanzibar anaweza chaguliwa na watu wachache sana -mi naona ni janja ya ccccm kuongeza idadi yao ya viti na wabunge,na pia kuzuga wananchi kuwa zanzibar ni wengi-
   
 9. n

  ngoko JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Usiguse hapo. Ni nguzo ya Amani na utulivu wetu.
   
 10. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Ile ni nchi, msisahau hilo wakati wote wa kujadili mada hii.
   
 11. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  JIBU SAHIHI: Wana wabunge wengi kwa sababu wao ni wachache.
   
 12. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  wanatakiwa wawe na wabunge wawili tu, mmoja wa Pemba mwingine Unguja. Kwisha kazi. hayo mengine ni kuwatuliza wasivunje muungano.
   
 13. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  1. Mbona sisi hatuna wabunge wanaotuwakilisha kwenye baraza la wawakilishi? Au kama wapo nielimishwe. Wabunge wa bunge la JMT wanaotoka Zanzibar wanatetea maslahi ya Zanzibar kwenye muungano, mfano ilipokuja hoja ya Zanzibar si nchi. Lakini Kwenye baraza la wawakilishi nani anatetea maslahi ya Bara au Muungano? Mfano Katiba mpya ya Zanzibar nasikia inatamka kuwa Zanzibar ni nchi.
  2. Kwenye Serikali ya Muungano Rais akitoka bara, makamu anatoka Zanzibar, kwenye serikali ya Zanzibar mbona makamu hatoki bara? Sina lengo la kujenga ufa, bali hizi ni changamoto tu nisizozielewa
   
 14. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #14
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Alie na uwezo wa kuigawa zanzibar ktk majimbo si tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) bali ni tume ya uchaguzi ya zanzibar ( ZEC), Hivyo basi majimbo yataendelea kuwa mengi kwani ndio hayo hayo yanayotoa wajumbe wa baraza la wawakilishi. Majimbo jumla ya znz ni 50 lkn kuna wabunge wa viti maalum, kuna 5 kutoka blw, kuna wakuteuliwa na rais. Jumla ni kama 80.
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Feb 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mimi naona Zanzibar kama nchi tu hili la Muungano sijui
   
 16. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #16
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Alie na uwezo wa kuigawa zanzibar ktk majimbo si tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) bali ni tume ya uchaguzi ya zanzibar ( ZEC), Hivyo basi majimbo yataendelea kuwa mengi kwani ndio hayo hayo yanayotoa wajumbe wa baraza la wawakilishi. Majimbo jumla ya znz ni 50 lkn kuna wabunge wa viti maalum, kuna 5 kutoka blw, kuna wakuteuliwa na rais. Jumla ni kama 80.
   
 17. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #17
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Soluhisho ni kuirejesha serikali ya tanganyika
   
 18. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #18
  Feb 8, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Kwani baraza la wawakilishi lina wajumbe wangapi? Je ili jimbo la uchaguzi lionekane kubwa kuhitaji kutengwa mara mbili ni vigezo gani vinatakiwa? Kwa knowledge kidogo niliyo nayo ili hilo litokee sababu kuu mbili ndio za msingi. Moja ni Ukubwa wa kijiografia na pili ni wingi wa watu. Kwa sababu hiyo ndio maana Dar es salaam inao wabunge wapatao nane sababu ya wingi wake wa watu. Je kugawanya majibo ya Zanzibar mpaka kufikia 50 ni vigezo gani vinafuatwa? Wingi wa watu au ukubwa waeneo kijiografia?
   
 19. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #19
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
 20. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #20
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  ukihesabu viongozi wa kada zote nchi hii kuanzia raisi, mawaziri, wawakilishi wabunge, wakuu wa mikoa, wilaya wakuruganzi nk nk. zanzibar kila familia inaweza kuwa na kiongozi. kusogeza huduma jirani zaidi kwa wananchi wameongeza na idadi ya maraisi wanashida gani, bara wanatawaliwa na visiwani
   
Loading...