Elections 2010 Kwa nini wengi wanaokamatwa na TAKUKURU ni wana-CCM?

hope 2

Senior Member
Apr 28, 2010
154
7
Hivi karibuni tumeona na kusikia kua TAKUKURU wamekamata watu wengi sehemu mbalimbali kwa kuhusishwa na Rushwa.
Sijaona au kusikia mtu wa chama pinzani katika hizo tuhuma ila kila wakikamatwa ni wana-CCM.

Naomba mnisaidie wana JF;
Je wana-CCM ndio watoa/wapokea rushwa zaidi???
Je kama ndivyo CCM ilivyo, tutafika wapi kiuchumi/kimaendeleo?
Je tutapata viongozi wenye uwezo wa kuongoza au tutapata viongozi MAFISADI wazidi kujilimbikizia?
Je kuna wapinzani ambao wamewahi kukamatwa na TAKUKURU?
 
Ni ajabu badi SISI tunaichagua CCM ilhali dalili zooote za ufisadi zimejionesha ktk chaguzi zake za ndani.

Sijui wabongo ni MISUKULE ama nini?
 
Kugombea kupitia upinzani ni njia mbadala ya mwisho baada ya kukosa kupitia chama tawala. Hivyo wingi wa wagombea wako CCM na kila mmoja anataka. Labda mawanzo yangu ni kuwa CCM inapaswa kuilipa TAKUKURU kwa kufanya kazi ya chama ya kusimamia maadili. Sifa mojawapo ya kuwa mwanachama wa CCM ni kukataa kupokea au kutoa rushwa, hivyo kinachofanywa na TAKUKURU ni mambo ambayo yanapaswa kuthibitiwa ndani ya chama chenyewe. Baada ya kila chama kupata mgombea wake na kampeni kuanza, nafikiri TAKUKURU wanatakiwa waanzie hapo.
 
Mkuu hapo kwenye red, tema mate chini na uombe msamaha? inaonekana huijui CCM.
Uongozi ni bisiness ndani ya Chama Cha Mapinduzi siku hizi, kila mtu anajua. Na rushwa ni sehemu ya biashara, ingekuwa si hivyo mfumo wote wa kupata viongozi ungebadilishwa ikiwa ni pamoja na kuondoa ununuzi wa form.
 
Jibu mbona ni rahisi tu, CCM ni chama cha mafisadi, na rushwa ni moja ya ufisadi. Wao ndiyo wezi wakubwa wa mali ya umma hivyo wanazo hela za kuhonga.Uongozi wowote ni mzigo, hivi ni mtu gani mwadilifu achukue hela alizozitolea jasho akanunue mzigo wa kuwatumikia watu? Ukweli ni kuwa CCM haitafuti ridhaa ya kuwatumikia watz bali wanatafuta nafasi kuwaibia watz zaidi na zaidi ndiyo maana wanatoa rushwa wakijuwa kuwa wakishapata hizo nafasi basi kazi liyokuwa mbele yao ni kuiba ili kurudisha hele wliyotoa na kuapata faida zaidi kwa kupora zaidi. Hivi watz mnataka muambiweje kuwa wanaotoa rushwa hawana nia njema?
 
Ni kweli mkuu, hujaona wameongeza neno zaidi kwenye sera zao??

ufisadi zaidi
kujilimbikizia mali zaidi
kutoa rushwa zaidi
.
.
.
. ongezeeni hapo..........
 
ushirikina zaidi
umalaya zaidi
unafiki zaid
roho mbaya zaidi
usultani zaid just chek watoto wa wavigogo WANAVYOIENDESHA UV CCM kwa kujiita watoto wa ikulu,watoto wa system yan wameihodhi UV CCM akina vai ridhwani na kakake vai sjuinanan yule makamba .haaaa uchafu tu ccm bora wafe wooooooooooooooooooooooote then wazaliwe wengine lakin awa awa tukiwaweka tena madarakani kazi ni ile ile tu
 
Nimekua nikifuatilia mchakato wa CCM katika kuwani udiwani na mchakato mzima wa kuwapata wabunge watarajari wa CCM.Utaratibu mzima umeaandamana na vituko .VITUKO mtu anaelichulia swala hili kiutani lakini tukiingia ndani tunapata photocopy ya CCM kama vitendo vya namna hii vinazikabili kila hatu za mwanzo za kuwatapa viongozi vikiongozwa na rushwa na ufisadi tunategemea viongozi wapi tunaweza kuwapata kutokana na huo mchakato MADUDU MATUPU WANAUMANA WAO KWA WAO ATAKAECHAGULIWA KUPAMBANA NA WAPINZANI MBINU HIZO ZITATUMIKA DHIDI YA WAPINZANI NAZITAKUA ZIMEUNGANISHWA DHIDI YA WAPINZANI.WANANCHI NA SISI WANAJAMII TUNAPASHWA KUJIELIMISHA NA KUWAELIMISHA WALALAHOI JINSI YA MTANDAO HUO WA KIFISADI UNAVYOFANYAKAZI TUSIUZE KURA ZETU KWA PILAU T-SHIRT,KHANGA NA AHADI HEWA WANETU,WAJUKUU ZETU VITUKUU WETU WATATUSUTA KWA HAYA.MUNGU IBARIKI TANZNIA DR.SLAA MKOMBOZI WETU MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Back
Top Bottom