maramia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,030
- 1,345
Uuzaji wa mitumba hivi sasa ni moja ya sekta binafsi inayoajiri maelfu ya watanzania wa kada mbali mbali.
Lakini, pamoja na baadhi ya wafanyabiashara wa biashara hiyo kuuza mitumba kwa kiwango kikubwa wamekuwa hawana utaratibu wa kutoa risiti, hata ukiomba utaambiwa wao hawatoi risiti.
Kama Rais mwenyewe anasisitiza kila anayeuza atoe risiti kwa nini hawa wauza mitumba hawatoi hizo risiti?