Kwa nini watuhumiwa wa ufisadi hawapelekwi mahakamani? au "upelelezi bado haujakamilika" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini watuhumiwa wa ufisadi hawapelekwi mahakamani? au "upelelezi bado haujakamilika"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Anold, Jun 14, 2011.

 1. A

  Anold JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Nijuavyo mimi nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa sheria. Je ni sababu zipi zinazoifanya serikali isiwafikishe watuhumiwa wa ufisadi mahakamani? kwani kwenye sheria kuna madaraja? mara kadhaa tumeshuhudia watuhumiwa wengi wakiachiwa huru na Polisi kwa kukosa ushahidi wa kuwapeleka mahakamani je hawa watuhumiwa ambao miaka inapita bila kuwafikisha mahakamani? je huku sio kwenda kinyume na haki za binadamu? kwanini wasitendewe haki? Hizi taasisi zinazojigamba kuwa ni watetezi wa haki za binadamu hili hawalioni? mara kadhaa nimekuwa kinyume na wale wote wanaotuhumu wenzao bila kuwa na ushaidi wa kutosha, sina tatizo kabisa na mtu yeyote kama ushahidi utakuwepo, wasiwasi wangu ni kuwa kama utaratibu huu wa kuamini tetesi utakuwa unaaminiwa kuna baadhi ya watu ambao hawana hatia wakajikuta wanaadhibiwa kwa majungu, hisia au njama zinazosukwa na mahasimu wao. Ningefurahi sana kama nitaelezwa sababu za watu ambao ni watuhumiwa wa ufisadi kutokufikishwa mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake ikibidi kama kunafedha walizokwapua za watanzania waagizwe zirejeshwe kama wakina Maranda.
   
 2. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kwani anayewafikisha mahakamani ni nani? Siyo mkurugenzi wa mashtaka?
  Tatizo hakuna kipengele kinachomlazimisha kupeleka faili haraka mahakamani
  hasa pale anaposema kuwa hajakamilisha upelelezi.

  Mungu ibariki Tanzania
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hizi mahakama zetu siku hizi ni kwa ajili ya kuwakamata CDM na Viongozi wa Dini!
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Hao wana mshiko,si rahisi kuwapeleka mahakamani kama wengine wasiokuwa na kitu.Tz hii bwana.
   
Loading...