Kwa Nini Watu Wengi Wenye Kasoro Hawapendwi Kimapenzi

NDIO NAWAFAHAMU.....zaidi ya moja......utaona tu,bado unaishi na kijana hujaona kila kitu....:sleepy:

Heee, we binti hulali?

Asante sana. Si vibaya kama utaweza kushare what u know about them.
 
Hahahahaha well hayo anayajua mwenyewe!Muhimu ni kwamba alikua anawadatisha!

Kwa maana nyingine alikuwa ni mlemavu kiwembe, hana pesa na anapendwa na wanawake wengi . . .

Ni ajabu na kweli Lizzy . . . very interesting . . .
 
Heee, we binti hulali?

Asante sana. Si vibaya kama utaweza kushare what u know about them.

kuna mtu namsubiri tulale nae naona yuko busy na thread lake....l.o.l

Kusema ukweli huwa nawaona kanisani na kuwasalimu tu....mmoja ni mlemavu wa miguu anatembea kwa wheel chair mwanaume kaoa mwanamke mzima...huyu mwingine hasikii wala haoni na kaolewa na mwanaume mzima....nawaona kama wana furaha sijui undani wao
 
Mhhhh! :)

Kwa maana nyingine alikuwa ni mlemavu kiwembe, hana pesa na anapendwa na wanawake wengi . . .

Ni ajabu na kweli Lizzy . . . very interesting . . .
Yeah..usidhani ulemavu unawanyima kuwa na wenzi!Ni vile tu huwaoni wakifuatana!
 
Asante BAK umenikumbusha hii kitu: https://www.jamiiforums.com/jamii-p...wanawake-milion-1-wenye-mapenzi-ya-kweli.html

Japo haikutokea TZ lakini iliwagusa wengi: Ila hatujui kama bado wako pamoja:

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Namkumbuka huyu jamaa. Mimi nilikuwa nashindwa kumuangalia kwenye TV sasa fikiria huyu binti anayeishi naye kama mumewe! Kuna watu wana roho zao hapa duniani.
 
kuna mtu namsubiri tulale nae naona yuko busy na thread lake....l.o.l

Kusema ukweli huwa nawaona kanisani na kuwasalimu tu....mmoja ni mlemavu wa miguu anatembea kwa wheel chair mwanaume kaoa mwanamke mzima...huyu mwingine hasikii wala haoni na kaolewa na mwanaume mzima....nawaona kama wana furaha sijui undani wao

Halafu wewe, mimi huwa nakupenda sana basi tu mwenyewe hujui . . . sasa ukiniambia kuna mtu unamsubiri, tena ulale naye, mimi roho inauma kweli . . .

Basi hao couples kama walioana moja akiwa mlemavu, bila motive au opportunity yoyote, bila ya shaka itakuwa ni upendo wa kweli.
 
Mkuu, umeona eee . . .

Sasa sijui ni wewe Mkuu . . . kama ni wewe niwie radhi . . . unajua mimi sijapata hapa na kidogo nianzishe thread ya kutafuta.

Maria Roza tu nilisikia ananitafuta kipindi fulani, lakini kila nikirusha nyavu hanasi . . . Michelle ndo huyo, ana jamaa yake sijui ni bro wake yule anaitwa The Finest . . . .
 
Namkumbuka huyu jamaa. Mimi nilikuwa nashindwa kumuangalia kwenye TV sasa fikiria huyu binti anayeishi naye kama mumewe! Kuna watu wana roho zao hapa duniani.

Umeona eeeh, sasa huu ndo upendo wa Agape.

lakini bado wako wote Mkuu?
 
Na kwa nini inadaiwa na baadhi watu wenye kasoro ni wakorofi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom