Kwa Nini Watu Wengi Wenye Kasoro Hawapendwi Kimapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Nini Watu Wengi Wenye Kasoro Hawapendwi Kimapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Superman, Apr 24, 2011.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  There was a blind girl who hated herself just because she's blind. She hated everyone, except her loving fiance. He is always there for her. Blind girl said that if she could only see the world, she would marry her fiance.

  One day, someone donated a pair of eyes to the blind girl and then she could see everything, including her fiance.

  Her fiance asked her, "now that you can see the world, will you marry me?" The girl was shocked when she saw that her fiance is blind too, and refused to marry him.

  Her fiance walked away in tears, and told the girl: "Just take care of my eyes dear."

  Moral: This is how human brain changes when the status changed. Only few remember what life was before, and who's always been there even in the most painful situations."You learn to love, not by finding a perfect person, but by learning to see an imperfect person perfectly."

  Napenda niwaulize wanaforum wote: Hivi ni kwa nini hasa watu wengi wenye kasoro hawapendwi kimapenzi?   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwasababu wengi wetu tunaangalia uzuri wa nje na sio wa ndani!
   
 3. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hapo ni kukosa imani tu, naomna baada ya kujua yale macho ni ya jamaa alijimaliza kabisa kwa aibu
   
 4. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  sidhan kama kuna ukweli
   
 5. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Kama si ukweli tupe ushuhuda wa wapenzi wanaohusisha moja mtu mzima moja ana kasoro.
   
 6. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Gaga; TZ kuna Movie Moja mpya imechezwa na Odoma na jackline Whopper ina similar story. Ila Mvulana ndo alikuwa kipofu akaja kuona baadaye halafu akamtosa binti iliyemhangaikia mpaka akapona.

  It is so emotional.
   
 7. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Any why is it like that? If I may ask?
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwasababu muonekano wa nje ni muhimu sana kwa baadhi!Upungufu wa chochote unawafanya wao wajione wao ni bora zaidi...ndo maana hata mahusiano mengi hayadumu kwasababu tunayoangalia yanaisha..yanachakaa na kufifia!
   
 9. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  si kwamba hawapendwi,ni kwamba watu wanaona itakuwa ngumu kuishi nao,manake wanahitaji special attention....but kupendwa wanapendwa
   
 10. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Michelle, inaaminika kuwa kisa hicho hapo juu ni cha kweli. Iweje kijana alimpenda binti alipokuwa kipofu lakini ilipokuwa the othe way around mambo yakawa tofauti?

  Hata kama kuishi nao ni vigumu, mbona basi hata katika duru za mahusiano ya kimapenzi hawaonekani kupendwa?
   
 11. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  love is a two way thing....kijana alimpenda binti hakumpenda....au alimpenda lakini hakuwa tayari kuishi na kipofu kwa experience alokuwa nayo yeye ya kuwa kipofu.......

  kuna tofauti ya kupenda as kupenda na kupenda na kuamua kuwa na mtu.......wenye kasoro wanapendwa,ila inakuwa ngumu kwa wanaowapenda kuamua kuwa nao kwasababu ya mahitaji yao mara nyingi
   
 12. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Unafahamu couples wowote ambao moja wapo ana kasoro?

  Mimi sijawahi kuona.
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,804
  Likes Received: 83,182
  Trophy Points: 280

  Wengine wako hivyo Superman, anampenda mtu pale anapokuwa hana ulema wa aina yoyote ile. Inapotokea mwenzie yule akapata ugonjwa wa aina yoyote ile au ajali na kuwa katika hali tofauti kabla ya ajali ile au ugonjwa badi wengi huingia mitini lakini wako wachache wenye roho zao ambao huendelea na wenzi wao hao mpala kifo kije kiwatenganishe.

  Juzi tu nilikuwa naangalia taarifa ya habari ambapo BF & GF bibi bomba ile mbaya na bwana ni handsome wa kutosha tu. Basi yule binti kapata ajali ya gari na baada ya matibabu ya muda mrefu hawezi kutembea tena shurti kwa wheel chair kila aendako, lakini kwa mapenzi makubwa ya yule bwana kwa binti yule, alimuomba amuoe na binti akakubali harusi ndiyo itafungwa wiki ijayo...kwa wanaume walio wengi baada ya ajali ya binti basi wangesepa tu na labda kubaki marafiki tu.
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo unataka kusema hao unaowaita wenye kasoro hawana wenza???Namkumbuka babu mmoja alikua kiwete ila ana wanawake balaa na wote hawana matatizo!Hiyo ni baada ya mke wake kufariki..japo sikuwahi kumjua lazima alikua mzuri maana mabinti zake wote ni wazuri sana!Alafu kuna wale wasanii wa movie zetu za kibongo walipata ajali binti hawezi kutembea tena na bado wakaoana!
   
 15. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Lizzy sijasema hivyo ila niko interested kujua kama wapo maana mimi pamoja na umri wangu huu bado sijaona.

  Huyo Babu kiwete alikuwa anatumia pesa au wanampenda asilia?

  Unaweza ukatujuza zaidi?
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama ni pesa!Mapenzi tu...
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Apr 24, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Mzalendo Superman, hulali kaka?
   
 18. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Asante BAK umenikumbusha hii kitu: https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/31797-picha-zisizo-za-kawaida-no-10-moja-kati-ya-wanawake-milion-1-wenye-mapenzi-ya-kweli.html

  Japo haikutokea TZ lakini iliwagusa wengi: Ila hatujui kama bado wako pamoja:

  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 19. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu, najaribu kujivua Gamba halitoki, linatoka na nyama.

  Niaje Mkuu?

  Ile kitu $$$ next week kama tulivyoongea chemba.
   
 20. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Duh! mapenzi ya kuwa na wanawake wengi Lizzy na wote wakampenda?

  I wonder.
   
Loading...