ndo siku tulivu iliyobarikiwa
zaidi jumapili
jiangalie kwa nini
miadi mingi inakuwa jumapili
kama una wako hasa singo angalia ratiba miezi sita nyuma siku gani mmedu sanaa
1.Nisiku tulivu
2. Watu wengi hawaendi kazini so wanapata muda wakubadirishana mawili matatu.
Watu wanapenda sana kufanya matusi jamani
kwa nini wanawake wanakua tofauti sana jumapili kuliko siku za wiki
Mmmh!km hili ni kweli vp kwa wanandoa!nao wanafata ratiba hii ya jpili au?
mara nyingi wanandoa hawana miadi labda kama wana watu wao wa pembeni
Wanandoa kwa wake/waume zao,au wanandoa kwa mahawara zao?!
Mi nadhani mtoa mada ni U-20.. Mpaka mpange namna ya kuaga.. Mara b'day,mara get together.. Enzi hizo unatoa hata buku tano ya kuchapisha kadi kumi za kisanii.. Mtoto anaaga anasambaza kadi ijumaa shughuli ya J'pili... J'pili anavaa fresh kumbe ndiyo hivyo tena..
Ok,nilijua na wao wanaratiba!ce huwa tuna du tunapojickia nahic hili co kwa wote!
Kwanza Lawyer anakusalimia. Halaf Jumapili hii naomba tuonane.
Michi u tuu chwitihat. Hatuna ratiba lakini Jumapili hii tutajarib kigreti thinka greti thinka kama hainogi huyu mleta mada lazima tumripoti kwa mod na uzushi wake.Missing u m dia loya!aisee kwan na ce cku hizi tumekua na ratiba!