Kwa nini watu/Wanafunzi Hu drop au kuacha shule? Angalia haya makundi na makosa yetu.

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
Huwa tunashangaa kwa nini watu wanaacha Shule? Kwa nini mtoo unakuta amapata Zero yaani sifuri Darasani? Kwa nini huwa tunasikia watu walidrop shule?

KUNA AINA TATU ZA MAKUNDI.
1. THINKER-wako asilimia 1 Duniani
2.READER-Wako asilimia 3 Duniani
3.SCHOLAR- Wako asilimia 96 Duniani

1. Thinker- Hawa ni wale ambao wanafikiri sana na mara nyingi Darasani hupata Zero. Hapa ndo unasikia watu wali drop shule.

Kwa nini wanapata zero?
Thinker mara zote Ubongo wao hauwezi kukariri vitu vya watu wengine bali unapaswa kuingiza mawazo yao wao wenyewe.
Juwa kuingiziwa vitu vya watu wengine hauwezekani kabisa.
WAVUMBUZI WOTE NA WAKO HAPA

2. Reader- Hawa ndo wale wanao soma na kuja kuwa walimu au wanakuja kuwa speker wakuongea kwenye mihadhara na pia hapa kuna walimu au Ma profesa.
Hawa husoma na kuanza kufundisha watu kwa minajiri ya kupata pesa.

3. Scholar- Hili kundi ni kubwa mno kuna walio enda shule na ambao hawakuenda shule. Humu kuna wafanya kazi na wasio na kazi. Hili kundi ndi lile la kumeza vitabu kundi la kikaririshwa vitabu. Hili ni kundi la kusoma na kwenda kutoa kile walicho soma. Kwa nini wasiosoma kabisa nao wamo humu?

Mfano
Mmasai anaweza kuwa hajaenda shule ila anaweza kukuelezea habari za mlima Lengai mwanzo mwisho. Kuna mtu anaweza kuwa hajaenda shule ila akakuelezea labda hapo zamani Kariakoo ilikuwa je? waliishi watu wa aina gani na kadhalika.

MAKOSA YETU
Unakuta mzazi una kijana yule kijana au mtoto yeye ni wa kufeli kila mtuhani. Mara zote anakuwa wa mwisho, anapata Zero.
Sasa kwa kuto kujua mtoto atapigishwa twisheni za kufa mtu lakini wapi,

HUYO MTOTO WAKO YUKO KWENYE KUNDI LA THINKER YAANI HAPO SHULENI SIO MAHARA PAKE.

Mtoto wako anapaswa kichwani aingize vitu vyake mwenyewe na si kuingiziwa.
Hili limetugharimu sana na watu kupoteza vipaji kwa sababu ya kuamini kwenye elimu ya Darasani.

MFANO
Tukiwa Secondary au Msingi kuna watu Darasani alikuwa ni wa mwisho ila mlete kwenye either kukimbia au mpira hapo hamtkamata yaani yeye ni balaa.

SASA SHULE SIO MAHALI PAKE ANALAZIMISHIWA TU NA WAZAZI WAKE NA MFUMO.

So kama Kijana au mtoto unaona kabisa Darasani ni zero tambua hapo sio mahala pake kabisa kabisa. Kijana wako yuko kwenye kundi la thinkers. Wazungu wanajua sana hili ndo maana utasiki fulani ali drop shule au aliacha au alifeli. Ni kwa sababu pale sio kwake.

HIZI MADA NI NGUMU SANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo bila vyeti utajuta na huo uthinker wako.
Nasikia mjini kauli mbiu ni weka vyeti mezani acha maneno.
 
Serikalini, Private Organisation wanaagalia uwezo na sio vyeti. Ndo maana kwenye Mashirika makubwa nafasi za juu wamekamata wageni wabongo wanatafutana nafasi za chini.

Tuendelee kuabudu vyeti na si uwezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa tunashangaa kwa nini watu wanaacha Shule? Kwa nini mtoo unakuta amapata Zero yaani sifuri Darasani? Kwa nini huwa tunasikia watu walidrop shule?

KUNA AINA TATU ZA MAKUNDI.
1. THINKER-wako asilimia 1 Duniani
2.READER-Wako asilimia 3 Duniani
3.SCHOLAR- Wako asilimia 96 Duniani

1. Thinker- Hawa ni wale ambao wanafikiri sana na mara nyingi Darasani hupata Zero. Hapa ndo unasikia watu wali drop shule.

Kwa nini wanapata zero?
Thinker mara zote Ubongo wao hauwezi kukariri vitu vya watu wengine bali unapaswa kuingiza mawazo yao wao wenyewe.
Juwa kuingiziwa vitu vya watu wengine hauwezekani kabisa.
WAVUMBUZI WOTE NA WAKO HAPA

2. Reader- Hawa ndo wale wanao soma na kuja kuwa walimu au wanakuja kuwa speker wakuongea kwenye mihadhara na pia hapa kuna walimu au Ma profesa.
Hawa husoma na kuanza kufundisha watu kwa minajiri ya kupata pesa.

3. Scholar- Hili kundi ni kubwa mno kuna walio enda shule na ambao hawakuenda shule. Humu kuna wafanya kazi na wasio na kazi. Hili kundi ndi lile la kumeza vitabu kundi la kikaririshwa vitabu. Hili ni kundi la kusoma na kwenda kutoa kile walicho soma. Kwa nini wasiosoma kabisa nao wamo humu?

Mfano
Mmasai anaweza kuwa hajaenda shule ila anaweza kukuelezea habari za mlima Lengai mwanzo mwisho. Kuna mtu anaweza kuwa hajaenda shule ila akakuelezea labda hapo zamani Kariakoo ilikuwa je? waliishi watu wa aina gani na kadhalika.

MAKOSA YETU
Unakuta mzazi una kijana yule kijana au mtoto yeye ni wa kufeli kila mtuhani. Mara zote anakuwa wa mwisho, anapata Zero.
Sasa kwa kuto kujua mtoto atapigishwa twisheni za kufa mtu lakini wapi,

HUYO MTOTO WAKO YUKO KWENYE KUNDI LA THINKER YAANI HAPO SHULENI SIO MAHARA PAKE.

Mtoto wako anapaswa kichwani aingize vitu vyake mwenyewe na si kuingiziwa.
Hili limetugharimu sana na watu kupoteza vipaji kwa sababu ya kuamini kwenye elimu ya Darasani.

MFANO
Tukiwa Secondary au Msingi kuna watu Darasani alikuwa ni wa mwisho ila mlete kwenye either kukimbia au mpira hapo hamtkamata yaani yeye ni balaa.

SASA SHULE SIO MAHALI PAKE ANALAZIMISHIWA TU NA WAZAZI WAKE NA MFUMO.

So kama Kijana au mtoto unaona kabisa Darasani ni zero tambua hapo sio mahala pake kabisa kabisa. Kijana wako yuko kwenye kundi la thinkers. Wazungu wanajua sana hili ndo maana utasiki fulani ali drop shule au aliacha au alifeli. Ni kwa sababu pale sio kwake.

HIZI MADA NI NGUMU SANA

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika umenena.congrants

Let's us teach our brothers
HOW TO THINK N NOT
WHAT TO THINK.

Stop NOT,fear NOT-Grab yo destiny
 
Hahaha mliofeli mna theory kibao za kusapoti ujinga wenu Mara thinker ili tuwaone magenius ama Aya basi nyie n thinker mmesaidia kipi Tanzania?
 
Back
Top Bottom