Kwa nini watu wanacheat?

Pretty

JF-Expert Member
Mar 19, 2009
2,575
552
habari zenu wana JF!
hivi kwa nini watu wanacheat kwenye ndoa zao au kwenye mahusiano.Kama kuna sababu kwa nini wasijaribu kuzirekebisha.
Tafadhali watu wajuao sababu za mtu kupelekea kucheat hebu tujadili hili swala.Maana sasa asilimia kubwa ya watu waliopo kwenye ndoa au mahusiano hakuna uaminifu.
 
Human nature!!!, we're always not satisfied of what we have ;)
 
Animal nature ... it's biology.
Naturally tunatakiwa kuwa na sexual partners wengi (yaani kibayolojia)
Lakini social life yetu inataka man to woman, ama siku hizi man to man! Hhhaaa hhaaaa, ngumu!
 
Prety, ni mambo tuu ya kubadili mboga. Angalau wenzetu damu baridi (ngozi) nyeupe wanaweza kuridhika na mboga ile ile mwanzo mwisho. Sisi damu moto, wanataka ugali moto mchuzi moto kila siku, kitu ambacho avarage woman hawezi.

Pia uncomplete sexual union ni sababu pia. Mahusiano ya mapenzi ya kisasa yako tuu superficial. Watu wanafanya sex kutimiza matwakwa ya miili for physical satisfaction not for true love gratisfaction. Matokeo yake hata kama mnafika (orgasm), but no spiritual union.

Wapenzi wakifikia stage ya 'spiritual union', love making inakuwa ni ecstacy na multiple orgasm. Morals zinakuwa controlled na subconcious mind, hivyo yoyote hawezi kwenda nje. Yaani hata kufikiri hawezi at the same time, mwili unaingia kwenye sense of belonging to one another, hata mwingine akuvulie na kukupanulia, there will be no reaction.

Hizo ndizo stage unawaona vibabu na vibibi vimeshikana mikono for real love kama mapenzi wameanza jana.

Ngozi nyeusi ukibahatika kufikia stage hiyo utasikia 'kashikwa', 'katulizwa', 'katengenezwa', 'kalishwa limbwata' etc.

Namna nzuri ya kuatain spiritual union inapatikana katika kitabu cha 'Kama Sutra' cha Kihindu. Pia Dr. Eustace Chasser amejitahidi kueleza kwenye kitabu chake cha 'Love Without Fear'.
 
Imagine kula wali na kuku kila siku kwa miaka 5 mfululizo achilia mbali miaka 30!!! Utakinai chakula hicho lakini ustaarabu wa dini zetu unatutaka tuwe kwenye ndoa moja miaka chungu nzima, angalau Waislamu wanaruhusiwa mpaka wake wanne kwa masharti maalum lakini hakuna anayefuata masharti hayo. Wanasema eti 'utatembea butcher zote lakini nyama ni ile ile!' hili si kweli maana kama umewahi kula nyama ya kongwa unajua ina tofauti kubwa na ile nyama ya vingunguti ;)
 
habari zenu wana JF!
hivi kwa nini watu wanacheat kwenye ndoa zao au kwenye mahusiano.Kama kuna sababu kwa nini wasijaribu kuzirekebisha.

Kuna vitu havirekebishiki au havipatikani kila sehemu. Unaweza kukuta mkeo hana mwanya, dimpo etc na we mgonjwa kwa hiyo kitu, lazima ukaisake nje.

Wengine bila kula t....go haitoshi, kuomba t....go kwa wife soo, kwa hiyo lazima waingie street.

Kuna wengine wanaendeleza uhusiano na BFs/GFs wa zamaani hata baada ya kufanya marriage, just kuendelea kuwapa company wale wa zamani
 
habari zenu wana JF!
hivi kwa nini watu wanacheat kwenye ndoa zao au kwenye mahusiano.Kama kuna sababu kwa nini wasijaribu kuzirekebisha.
Tafadhali watu wajuao sababu za mtu kupelekea kucheat hebu tujadili hili swala.Maana sasa asilimia kubwa ya watu waliopo kwenye ndoa au mahusiano hakuna uaminifu.

...'cha kuiba kina utamu!' ...sema usikamatwe tu! :)
 
Prety, ni mambo tuu ya kubadili mboga. Angalau wenzetu damu baridi (ngozi) nyeupe wanaweza kuridhika na mboga ile ile mwanzo mwisho. Sisi damu moto, wanataka ugali moto mchuzi moto kila siku, kitu ambacho avarage woman hawezi.

Pia uncomplete sexual union ni sababu pia. Mahusiano ya mapenzi ya kisasa yako tuu superficial. Watu wanafanya sex kutimiza matwakwa ya miili for physical satisfaction not for true love gratisfaction. Matokeo yake hata kama mnafika (orgasm), but no spiritual union.

Wapenzi wakifikia stage ya 'spiritual union', love making inakuwa ni ecstacy na multiple orgasm. Morals zinakuwa controlled na subconcious mind, hivyo yoyote hawezi kwenda nje. Yaani hata kufikiri hawezi at the same time, mwili unaingia kwenye sense of belonging to one another, hata mwingine akuvulie na kukupanulia, there will be no reaction.

Hizo ndizo stage unawaona vibabu na vibibi vimeshikana mikono for real love kama mapenzi wameanza jana.

Ngozi nyeusi ukibahatika kufikia stage hiyo utasikia 'kashikwa', 'katulizwa', 'katengenezwa', 'kalishwa limbwata' etc.

Namna nzuri ya kuatain spiritual union inapatikana katika kitabu cha 'Kama Sutra' cha Kihindu. Pia Dr. Eustace Chasser amejitahidi kueleza kwenye kitabu chake cha 'Love Without Fear'.
 
...hata wewe ukiingia utajionea mwenyewe...atakukinai tuu...mpe space na wewe akupe space...mtaishi kwa raha mpaka uzeeni.

Shida iko kwenye wivu kucheat kutamu ila mwenzangu asijalibu hata kuwaza loooh, naogopa heart breaking....
 
from my little exiperience,IF YOU CAN'T CHEAT A WOMAN,you will neva win her love
 
Animal nature ... it's biology.
Naturally tunatakiwa kuwa na sexual partners wengi (yaani kibayolojia)
Lakini social life yetu inataka man to woman, ama siku hizi man to man! Hhhaaa hhaaaa, ngumu!

Also physical nature... Ni ngumu kumwona binti mzuri anapita mbele yangu bila kumtupia neno ukitegemea 'mifuko' iko sawa. hata kwa wanawake pia, kwani hutamani kwa kuona kama ilivyo kwa wanaume. uzuri (umbo na sura) wa mtu ndio tatizo
 
Pole sana dada yangu, ina elekea umeathirika kwa namna fulani na tatizo hilo.Lakini napenda kukufahamisha kwamba maadili kwa ujumla yameharika sana si katika mahusiano tu,ni katika kila nyanja,ndio maana unaona hata ufisadi nao unavyopamba moto.Lakini napenda ufahamu neno hili kwamba kuharibika kwa jamii kimaadili ni kwasababu ya kumuasi Mungu.Mahali Mungu wa KWELI anapo abudiwa hakuna uasi.Angalia watu wote 'WANAOCHEAT' kama mwenyewe unavyo sema,je wana uhusiano mzuri na Mungu wa kweli?Sina shaka utagundua hawana,lakini wapo wapo tu.Kama huna uhusiano mzuri na Mungu there is no way you can have good morals,ni kujidanganya,hata wewe mwenyewe.

habari zenu wana JF!
hivi kwa nini watu wanacheat kwenye ndoa zao au kwenye mahusiano.Kama kuna sababu kwa nini wasijaribu kuzirekebisha.
Tafadhali watu wajuao sababu za mtu kupelekea kucheat hebu tujadili hili swala.Maana sasa asilimia kubwa ya watu waliopo kwenye ndoa au mahusiano hakuna uaminifu.
 
Kuna vitu havirekebishiki au havipatikani kila sehemu. Unaweza kukuta mkeo hana mwanya, dimpo etc na we mgonjwa kwa hiyo kitu, lazima ukaisake nje.

Wengine bila kula t....go haitoshi, kuomba t....go kwa wife soo, kwa hiyo lazima waingie street.

Kuna wengine wanaendeleza uhusiano na BFs/GFs wa zamaani hata baada ya kufanya marriage, just kuendelea kuwapa company wale wa zamani

Hayo ndo yanayoendeleza maambukizi ya ukimwi na sijui when we african tutalijua hilo.
 
Back
Top Bottom