Kwa nini watu wa Tanga/Chalinze hawajengi kwao?

Nenda bukoba ukatembee vizuri acha kuishia mjini ndo utajua kwamba bukoba si Kagasheki,tena anzia Kitendaguro,Itahwa,Katoma,Kanyigo,Kamachumu,Nshamba,Muleba,Kagoma etc.hayo maeneo yote ni vijijini na ingia mpaka ndani ukaulize maghorofa yaliyoko huko,tatzo wengi mmeishia kwenda Moshi kwa vile ni karibu lakini kwenda Bukoba kutembea mnaona ni mbali,tembeeni muone!kijijini ni zaidi ya Chalinze na hata Muheza

Watu wengi wa Tanga na Pwani hawana desturi ya kuwa na makazi imara,wao ni watu wa kujipodoa na kusubiri kulelewa na wanawake,Tanga kazi ya kulea familia ni ya Mwanamke na si mwanaume ndo maana wanaume hawajishughurishi na familia sana..ni utamaduni wa sehemu husika.

Hawajishughulishi na sio "HAWAJISHUGHURISHI" Kiswahili lugha ya bure.
Turudi kwenye mada yako......Hapo kwenye red........Akina Engineer Omar Nundu, Juma Mwapachu, Engineer Mhando na Rajabu Adadi wakikusikia na hiyo kauli yako basi mkuu umekwisha!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom