Kwa nini watu wa Tanga/Chalinze hawajengi kwao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini watu wa Tanga/Chalinze hawajengi kwao?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 11, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Samahani siko kama unavyofikiri ila naomba unisaidie hili jamani....nina mwezi wa nne uliopita nimetoka
  kuzika mzee mmoja hapa dar ni mkubwa kwenye shirika moja samahani kwa wanaomjuaa
  kwa kweli nawaamabia ni aibu sana atumenda kuzika hiyo nyumba tumefikia kwa kibanda cha mdogo
  wake najiuliza hivi hawa mabosi kwa nini awajengi kwao

  nina siku 6 nimetoka korogwe jamani kuzika bosi mmoja ndugu zanguni sehemu ile hiyo ukoo
  una baraka za ajabu karib ndugu zote wamkamata vitengo kwenye mashirika ya umma na wengine serikalini
  kilchoniuma nilijua marehemu akujenga nikaambiwa unamjua mkurugenzi wa mdogo wake huyu bwana kwake
  pale yaani ni vyumba vya panzi samahanai kuita hivi..mbaya ile maiti nayo ilishukia kwa kakamtu usiku mvua ikapigwa
  wamama wakatok kudai itafutwe plastiki maiti inanyeshewa yaani mvua inavuja jamani jamani hili si kwa tanga
  tu na chalinze embu kuweni kama shemeji zangu wachaga wekeni hata vyumba viwili mkienda kupumzishwa nyumba
  ya milele muachane na hii ka aibuu
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  mabosi wengi sana hata mawaziri usiwaone kwenye mashangingi yao awana hata chumba cha matofali kuna mmoja akaniambia ukijenga siku ya kuondoka urudi unaishia njiani sikutaka kujua sababu kamili ila sasa

  NIMEAMINI KWA NINI VIGOGO WENGI WAKIFA WANAKIMBILIA YALE MAKABURI SPECIAL KINONDONI ZAMANI NILIJUA NI KAMAM KASIFA KUZIKWA PALE LAKINI NAHISI SABABU MAALUM NI KUOGOPA HII AIBU UKO WANAKOENDA KULAZWA HAYA FUNGUKEN BASI HIVYO VIJISENTI VYA TEN PERCENT TUMENI CEMENT NYUMBAN JAMANI WEKENI HATA MTU WA KUWASAIDIA KUSIMAMIA HATA USIPOENDA KUIONA WAKUTUMIE KWENYE EMAIL SIKU UNAENDA KULAZWA AJUE UNAWAAMBIA MAPEMA WAKULAZE WAPI
   
 3. babuwaloliondo

  babuwaloliondo JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Labda nikuulize tu kwani mtu anatakiwa kujenga wapi?.
  Naona ni busara kujenga sehemu ambayo unaona utaishi, au utakuja kuishi utakapostaafu, au utakapokuwa hauna nguvu ya kufanya kazi.
  Na pia unaangalia uwezo wa kusurvive ukiwa hauna uwezo.
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Aiseeeh, Kigoda na yeye vipi?
   
 5. K

  Karry JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  duh tuache mambo ya zamani
   
 6. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Ni utamaduni wa kutokuwa na malengo. Ni watu wanaopenda domo domo lakini vitendo haba. Kama jirani zake hapo kijijini wapo hivyo, hawana nyumba, wazo la kujenga atalipata wapi. Kuna msemo: unaweza kumtoa mtu porini lakini huwezi kutoa pori ndani yake. Huenda hilo linachangia kwenye matatizo ya kiongozi wetu wa juu. Mtu anajiita 'mwinyi' eti kwa sababu ana minazi kumi. Karidhika.
   
 7. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Na kwa maji Marefu vipi ulipita?
   
 8. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Jiulize mtu wa aina hiyo anapokua ni kiongozi wa kitaifa atahimiza maendeleo ya aina gani? Ni mfano gani anaonyesha huko anakotoka? Matokeo ni wastaafu kubanana Dsm bila sababu za msingi. Kwa upande wa Chalinze naona siku hizi wananchi wameanza kujenga nyumba za kisasa. Ukipita Lugoba na Msoga unaona zinaanza kujengwa nyumba za kisasa.
   
 9. Fasouls

  Fasouls JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 922
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Jenga tanga ufe!
   
 10. R

  Renegade JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,769
  Likes Received: 1,074
  Trophy Points: 280
  Wanajengea Nyumba ndogo tu bana, wao nyumba za nini? Nyumba ndogo tatu kila mtu na nyumba yake.
   
 11. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  HUYU MJANJA ATAKUWA KAWATUSHIA NA UGANGA FEKI WAKAMUOGOPA KWAHIYO ATAKUWA KAJENGA TU!KAMA BABU MAKAMBA
   
 12. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  KWAHYO ZILE NYUMBA ZLIZOPO PALE T.A ZOOTE ZA WACHAWI? HAKUNA BWANA MNASEMA URONGO!!!
   
 13. f

  fazili JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,192
  Likes Received: 405
  Trophy Points: 180
  wengi ni wanaotoka maeneo hayo ni waamini wazuri wa ushirikina na uchawi na wanaogopa kulogwa kwa kujenga nyumba nzuri na wengi wao hawana uchungu na kwao wala nchi kwa ujumla ndio maana hushangai wakiuza nchii hii kwa wageni kama karanga vile. lakini wale watani wangu wa Moshi wanajua ardhi ni nini
   
 14. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,696
  Trophy Points: 280
  siku niliyofika bukoba nilionyeshwa nyumba ya Kagasheki sikuamini kama ni nyumba ya waziri. Nenda bagamoyo kaitazame nyumba ya mkweere utashangaa na roho yako
   
 15. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Sasa wewe hiyo sample yako ya data inajumuisha watu wawili na tayari umekurupuka na umekuja hapa jamvini ku-conclude hivyo. Je hawo watu wa Tanga ambao ni marafiki zangu nawajua zaidi ya 20 ambao wote wamejenga kwao huko Tanga tena nyumba za maana tu nao tuwaweke kundi gani?
  Tuache kuchukua mifano michache inayotuzunguka ktk kufanya conclusion ya mambo mengi tu. Think in a bigger picture and avoid overgeneralization.
  Thanks
   
 16. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,057
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Nenda bukoba ukatembee vizuri acha kuishia mjini ndo utajua kwamba bukoba si Kagasheki,tena anzia Kitendaguro,Itahwa,Katoma,Kanyigo,Kamachumu,Nshamba,Muleba,Kagoma etc.hayo maeneo yote ni vijijini na ingia mpaka ndani ukaulize maghorofa yaliyoko huko,tatzo wengi mmeishia kwenda Moshi kwa vile ni karibu lakini kwenda Bukoba kutembea mnaona ni mbali,tembeeni muone!kijijini ni zaidi ya Chalinze na hata Muheza

  Watu wengi wa Tanga na Pwani hawana desturi ya kuwa na makazi imara,wao ni watu wa kujipodoa na kusubiri kulelewa na wanawake,Tanga kazi ya kulea familia ni ya Mwanamke na si mwanaume ndo maana wanaume hawajishughurishi na familia sana..ni utamaduni wa sehemu husika.
   
 17. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #17
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,057
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Nenda bukoba ukatembee vizuri acha kuishia mjini ndo utajua kwamba bukoba si Kagasheki,tena anzia Kitendaguro,Itahwa,Katoma,Kanyigo,Kamachumu,Nshamba,Muleba,Kagoma etc.hayo maeneo yote ni vijijini na ingia mpaka ndani ukaulize maghorofa yaliyoko huko,tatzo wengi mmeishia kwenda Moshi kwa vile ni karibu lakini kwenda Bukoba kutembea mnaona ni mbali,tembeeni muone!kijijini ni zaidi ya Chalinze na hata Muheza

  Watu wengi wa Tanga na Pwani hawana desturi ya kuwa na makazi imara,wao ni watu wa kujipodoa na kusubiri kulelewa na wanawake,Tanga kazi ya kulea familia ni ya Mwanamke na si mwanaume ndo maana wanaume hawajishughurishi na familia sana..ni utamaduni wa sehemu husika.
   
 18. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #18
  Aug 12, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu ukiandika kitu fanya staha na utafiti,ukikurupuka utakuja leta fedheha,mimi pia nilikuwa na mawazo kuwa wanawake wa kihaya ndio watafutaji, mpaka miaka ya middle 80's kuna sehemu kule Tanga inaitwa mabawa ilikuwa maarufu sana kwa wanawake wa kihaya,wakati ule nilikuwa mdogo nikiuliza naambiwa wamekuja kutafuta,lakini sijui walikuwa wanafanya shughuli gani...sasa kama wanaume wa Tanga kazi yao ni kujipodoa na kulelewa na wanawake hawa walivutiwa na nini mpaka kuweka kambi Tanga?
  Na swala la ujenzi kila mtu anajenga pale ambapo anaona maisha yake yanakwenda,mfano mji kama Dar es salaam naamini ni zaidi ya 90% ya waliojenga sio wenye wa mji huo.
   
 19. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #19
  Aug 12, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Huyu jamaa kashtuka,kiasi kajijenga,pale Korogwe karibu na chuo cha Ualimu ana ukumbi wake pale unaitwa Mamba,na kibanda cha kujistiri anacho.
   
 20. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #20
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  mbaya zaidi wa waumini wakubwa wa pwrrrrrrrrruuuuuu kupuliza weeee unafikri mwapachu anapenda akujengahekalu kule mbweni masharti yanamshinda
   
Loading...