Kwa nini watengenezaji wa iphone wanashindwa kutengeneza good batteries kama za Tecno?

Tecno wanachokifanya ni kwamba wanaweka betri kubwa kuliko iPhone. Pia kila kampuni ina malengo yake basic kwa mfano apple wanahakikisha simu zao zina good camera na user experience nzuri kabisa while Tecno wanahakikisha simu zao ni affordable pia betri yake inadumu kwa mda mrefu, hii inatokana na market ya bidhaa zao.
 
n
Tecno inachukiwa na kuchukuliwa kama cm ya watu wasiojiweza ila kwa upande wa kazi na betri zinapiga vizur mno mbona ma cm ya samsung yanajizima hovyo tu lakin hayachukiwi?
Wanachozipendea ni Camera hakuna kingine cha ajabu,na kwakuwa bado wamekariri na hawataki kujaribu Tecno kuona wakoje kwenye upande wa camera nowadays ni kuwaacha waendelee kupigwa..
 
Back
Top Bottom