Kemea tabia ya watanzania kutukana katika page ya Aston Villa

Goodluck Mchika

JF-Expert Member
Jul 29, 2018
1,108
955
Tabia mpya ya kukemea; kama mwana jf kemea tabia ya watanzania kutukana katika page ya aston villa kwa sababu tu
Kuwa hapostiwi

Sasa cha kushangaa watz wenzangu na cha kuuma je samatta ndie mwenyewe
VILLA
JE AMEFANYA NINI CHA KUWA WANAMPOST
MWISHO ILE NI PAGE YA KLABU WANAITAJI MAONI SI MATUSI
 
Back
Top Bottom