kwa nini watanzania ni wasaulifu sana katika mamo ya msingi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa nini watanzania ni wasaulifu sana katika mamo ya msingi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Simcaesor, Feb 22, 2012.

 1. S

  Simcaesor Senior Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si mara ya kwanza mambo makubwa kutokea hapa nchini kama ugonjwa wa Dr. H Mwakyembe na jinsi ili suala linavyoshughulikiwa kizembe na kiukikwaji haki, lipo jambo la mtoto wa mwenyeki wa IPP bwana Mengi na kubambikiziwa madawa ya kulevya na matukio mengi ya msingi yanavyopindishwa. lakini sisi watanzania hatutunzi kumbukumbu likitokea jambo moja tunasahau kupiginia haki ya mengine na baadae hupotelea hewani au kwa mana nyingine tuwe tunatunza kumbukumbu na kuweza kupigania yote kwa pamoja, ili kutoipa nafasi hii "serikali corrupt" kupuuzia mambo ya msingi.
   
 2. L

  LISAH Senior Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Si kwamba ni wasahaulifu bali ni wanafiki na wabinafsi
   
 3. M

  Mbuli Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hilo la kusahau ndipo hapo magamba wanapopatia ushindi
   
 4. L

  LISAH Senior Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nakataa si kusahau, ni wanafiki, waoga na wabinafsi .
   
Loading...