miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,821
- 48,966
Hapo sijui mkuuimekuwa cheap kupita kiasi asee,,huawei mate 8 dola 30 mpk 40 kwel?? au zinakuwa zile feki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sijui mkuuimekuwa cheap kupita kiasi asee,,huawei mate 8 dola 30 mpk 40 kwel?? au zinakuwa zile feki?
Sent using Jamii Forums mobile app
wajanja sana hawa jamaa wanaweka bei yakuvutia wateja muulize bei ya shippingimekuwa cheap kupita kiasi asee,,huawei mate 8 dola 30 mpk 40 kwel?? au zinakuwa zile feki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi uliona hiyo bei?imekuwa cheap kupita kiasi asee,,huawei mate 8 dola 30 mpk 40 kwel?? au zinakuwa zile feki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inafanyikaje!Kama unataka business na Huna pesa ya mtaji mwingi ingieni Alibaba tafuta small business partners .
AlibabaWapi uliona hiyo bei?
Kama unataka business na Huna pesa ya mtaji mwingi ingieni Alibaba tafuta small business partners .
Hii ndo pint kuu mkuu ili tupate maujuziMkuu huu uzi wako uliuanzisha ukiwa na lengo zuri sana bahati mbaya wangu walianza kujadili kuhusu hofu ya kutapeliwa badala ya kuchangia mada husika.
Hebu tuambie mkuu ni jinsi gani mtu anaweza kupartner na supplier wa alibaba hata akiwa hana mtaji mkubwa au bila ya kuwa na mtaji kabisa.
Je ni kujenga tuu trust? Na hapo unawezaje kumshawishi supplier wa alibaba akaniamini?
Mkuu mimi niliagiza HTC ONE X na Huawei Ascend P7 toka kwa sellers wawili tofauti wa Aliexpress na mizigo ilifika tena ikiwa salama na katika good condition?nachojua ni kua,aliexpress unapolipia,pesa yako inakua pending mpaka pale unapopata mzigo wako ndio muuzaji upatiwa pesa,na pia ninachofanya najaribu sana kuangalia huyo seller bidhaa zake alizouza awali ziko rated kiasi gani na prev buyers,buyer protection ambayo ina option za full refund if u dont receive ur order,refund ok keep item as not described!kusema ukweli mimi sijawahi kumbana na tatizo lolote kuanzia,amazon,ebay,alibaba na hata aliexpress,microcentre etc na mimi ni mnunuaji mzuri sana wa mitandaoni
Mamb naimb nisaidie namna ya kupata bidhaa za alibabambona nipo huko mda mrefu sana
Hii ni kweli maana niliwauliza kuhusu payment hawakubali wanani elekeza nilipe kupitia Alibabahayakubali PAYPAL
Unakuta ni 962$ Shipping costbei ya shipping
Trade B2B_trade dircetory--Trade Guide ...... ingia biii website au B2B trade guide utapata mambo mengi probaly wanaweza omba ujiunge unaweza fanya hivyo
Mamb naimb nisaidie namna ya kupata bidhaa za alibaba
Mkuu vipi bado unashughulika na biashara Alibaba? Je vipi twaweza kupata bidhaa Arusha?Msaada wakuu namna gani alibaba wanaship product kwa mteja
Rejea hapo juu mimi nimeamua kujihusisha na kuagiza bidhaa kwa jumla kwa wastani ambao si zaidi ya piece 50 kwenye product ndogondogo kama saa,usb n.k. Naomba kujuzwa suala la shipping katika Alibaba linaendaje maana aliexpress unaposelect bidhaa wanakupa shipping option na bei yake lakini huku...www.jamiiforums.com
Mkuu nahitaji mzigo wa Chupi huko abroad je Aliexpless bei zao zipoje naweza kupata nami nikaja kukimbiza BongoMe nashughurika na biashara kuagiza kupitia AliExpress.
Nimewatafuta sijawapata hao small business partnerKama unataka business na Huna pesa ya mtaji mwingi ingieni Alibaba tafuta small business partners.
Am I love with you ghafla tu baada ya kusoma hii comment yako...... Lets do a private chat ya kibiasharaWapo wengi sana na makampuni mengi wanatumia hasa ya export na wano import ni wengi uwezi jua watu wanatumiaje but if u have a dill ndipo utakapokutana na watu huko from tz.... na pia kuna mitandao mingi ya kufanya biashara more thana alibaba ... kuna kama trade key,dragon na mingine mingi so tupo ila sana