Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,074
kinachonikera alibaba ni hichi shipping haiwekwi wazi hivyo inafanya mpaka umtafute seller umuulize akwambie bei akikwambia bei ya shipping ukacancel order basi ukiweka order ya bidhaa yake nyingine ataki tena kurespond oder yako changamoto ni hiyo alibaba bei ya kuship aiwekwi wazi mwisho wasiku unatext seller anachelewa kujibu.text yako na shipping.pengine inaweza kuwa kubwa