mbona nipo huko mda mrefu sana
Sioni watu wengi na naona Kama watu wanatapeliwa Sana tanzania .Kuna wanaouza korosho ,kahawa that's it
Wapo wengi sana na makampuni mengi wanatumia hasa ya export na wano import ni wengi uwezi jua watu wanatumiaje but if u have a dill ndipo utakapokutana na watu huko from tz
Kama unataka business na Huna pesa ya mtaji mwingi ingieni Alibaba tafuta small business partners .
Sioni watu wengi na naona Kama watu wanatapeliwa Sana tanzania .Kuna wanaouza korosho ,kahawa that's it
Wapo wengi sana na makampuni mengi wanatumia hasa ya export na wano import ni wengi uwezi jua watu wanatumiaje but if u have a dill ndipo utakapokutana na watu huko from tz.... na pia kuna mitandao mingi ya kufanya biashara more thana alibaba ... kuna kama trade key,dragon na mingine mingi so tupo ila sana
weka link
www.Alibaba .com .kwenye search engine type biashara yoyote unavyotaka Kama " women clothes or containers or mobile houses .Wafanya biashara kibao watajitikeza hapo register na Anza kuwasiliana .I feel safe and secure sasa Hivi Yaani mpaka kiwandani unaenda unaona bidhaa na kununua Kama ni china India USA .nimeamua kuwashtua mliolala usingizi .ikoje hii kitu madam?ngoja nikaichungulie!
www.Alibaba .com .kwenye search engine type biashara yoyote unavyotaka Kama " women clothes or containers or mobile houses .Wafanya biashara kibao watajitikeza hapo register na Anza kuwasiliana .I feel safe and secure sasa Hivi Yaani mpaka kiwandani unaenda unaona bidhaa na kununua Kama ni china India USA .nimeamua kuwashtua mliolala usingizi .

nakufata pm nikuulize
Karibu sana
Kama ni kuhusu habari hii fungukeni tu tuelimike wote
Kama ni kuhusu habari hii fungukeni tu tuelimike wote
Kama unataka business na Huna pesa ya mtaji mwingi ingieni Alibaba tafuta small business partners .
umeuliza au umeeleza?Mkuu kujiunga ni mpaka uwe na kampuni ... Halafu ukitaka kununua vitu huwezi nunua kimoja kimoja mpaka kwa ujumla ...
Naomba ufafanuzi wako tafadhali .
umeuliza au umeeleza?