Kwanini Watanzania hamjiungi na ALIBABA small business website

Sioni watu wengi na naona Kama watu wanatapeliwa Sana tanzania .Kuna wanaouza korosho ,kahawa that's it

Wapo wengi sana na makampuni mengi wanatumia hasa ya export na wano import ni wengi uwezi jua watu wanatumiaje but if u have a dill ndipo utakapokutana na watu huko from tz.... na pia kuna mitandao mingi ya kufanya biashara more thana alibaba ... kuna kama trade key,dragon na mingine mingi so tupo ila sana
 
Alibaba is no 1 Hamna matapeli mke wewe .Imeizidi google na eBay .its safe
 
ikoje hii kitu madam?ngoja nikaichungulie!
www.Alibaba .com .kwenye search engine type biashara yoyote unavyotaka Kama " women clothes or containers or mobile houses .Wafanya biashara kibao watajitikeza hapo register na Anza kuwasiliana .I feel safe and secure sasa Hivi Yaani mpaka kiwandani unaenda unaona bidhaa na kununua Kama ni china India USA .nimeamua kuwashtua mliolala usingizi .
 
thanks nimewaona nitaifanyia kazi!
 
Asante mkuu in advance,nitaingia huko.
 
Kama unataka business na Huna pesa ya mtaji mwingi ingieni Alibaba tafuta small business partners .

Mkuu kujiunga ni mpaka uwe na kampuni ... Halafu ukitaka kununua vitu huwezi nunua kimoja kimoja mpaka kwa ujumla ...
Naomba ufafanuzi wako tafadhali .
 
wakuu Sijaelewa
hiZo bidhaa wanatengeneza wao wenyewe Alibaba au Hapo ni uwanja Wa kukutana na kufanya biashara Na Makampuni mbalimbali?
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom