Kwa nini wastaafu wakistaafu/kufukuzwa wanazeeka mapema!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini wastaafu wakistaafu/kufukuzwa wanazeeka mapema!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 4, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,770
  Trophy Points: 280
  Vijana hii n changamoto kwenu
  umefika wakati ukiajiriwa ujue kuna kuacha kustaafu ama kuachishwa..nimeangaliwa vijana wazee wengi wanapoacha ama kuachishwa kazi kwa kweli ndan ya miezi sita wanakuwa wamebadilika kama wanaikaribia kaburi..ndugu mpendwa ukiwa kama kijana n wakati wako sasa wa kujipanga na kujua jinsi gan ya kuishi baada ya kustaafu..ama ukiachishwa...usisubiri upewe ppf/nssf ndio ujenge tafuta sehemu kwa ujenge kwa nguvu zako zote ukiwa kazini..msikimbilie kuendesha maagari ya mkopo ambayo wakikuakimbiza leo wanaita majembe na kuishia kwenye mabasi...funguen macho jaman na nyie wazee msisubiri mzeeke mstaafu ndio mnakimbizana kujenga utakufa na magonjwa yasiyo yako
  kila la kheri jitahdini kujipanga mkiwa kazini jamani muda mzuri ukiwa na nguvu zako mtaan utachekwa...

  Wasalaam
  mstaafu mwenzenu
   
 2. m

  mwananyiha JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Vipi na wewe umezeeka haraka baada ya kustaafu ?
   
 3. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #3
  Apr 5, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana nawe Pdidi, tatizo unakuta ndio hivo mishahara yenyewe midogo ukisema ukope ndio unaweza jikuta mwisho wa mwezi unatoka na NIL ni hatari. Nakubaliana nawe kabisa sie kwetu wote waliostaafu wote wamekufa au wengine unakuta wamefanya kazi muda mrefu lakini wanastaafu na mafao kidogo sana. kweli kuna haja ya kujipanga mapema kabisa.
   
 4. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2011
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  It is because they are too busy thinking of the lost past.


   
Loading...