kwa nini washona vyatu wengi ni WACHAGA?WAUZA MADUKA WACHAGA AKA WAROMBO? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa nini washona vyatu wengi ni WACHAGA?WAUZA MADUKA WACHAGA AKA WAROMBO?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Pdidy, Dec 28, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Umeshawahi kujiuliza hiili swali
  kwa nini washona viatu wengi ni wachaga dar mpaka moro
  na wengi wao wanakuwa na bahati ya kupendwa kweli na mijimama
  sema aitumii akili kutoka wanaishia miaka kumi kushona viatu huku wakilelewa
  na mimama ya vodacom/bot bima enzi hizo wengine wakajifia maskini na kagonjwa njetu

  je mmekuja dar kushona viatu na kuuza maduka ama??warombo embu tupeni jibu jamani
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  masharti ya majini yao yanawataka waanzie kushona viatu na kuuza duka halafu baadae ndo wanakuwa matajiri
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Notenyo laana weye
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwasababu Moshi kuna viatu vingi vilivyochanika!!
   
 5. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  ni business tu wengi wanapenda kujishughulisha,wapo pia mafundi saa,redio tv nk wengi utashangaa darasa la saba lkn
  wamewekeza vema wengi wamejnega kwa kazi hizo
  wanaanzia hapo kutafuta mtaji,kuna bwana mmoja alikuwa anauza mafuta ya taa tu kwa kigaloni kwa sasa ana miliki vituo vya mafuta,hotels na maduka kadhaa, ni kujituma.nawapongeza hao ndugu zangu kina rafael,alfonsi,elibariki,shayo massawe,mushi hata aikaeli nae alikuwepo kwa kweli na manka pia.big up wachaga
  nimsahau kwa mnaosafiri kuja arusha moshi mtashuhudia wenyewe investment zao ktk migahawa someni michuzi leo mkuu wa wailaya ya korogwe kazindua mgahawa wa mil 800.msiwashangae nanyi chakarikeni
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Dec 29, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hivi kwa nini Wachaga wanaandamwa hivi humu?
   
 7. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Katika mtu ananifurahisha na mabandiko yake hapa JF basi ni Pdidy, manake huwa mara nyingi napata kazi ya kujiuliza mara mbili mbili mantiki, connection, na maana ya mabandiko hayo

  Mungu akupe umri mrefu
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwasababu watu wanatupenda alafu wanachukia kitendo cha kutupenda.
   
 9. vena

  vena JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hiz ni akili za kipuuzi tu kuchalenge maisha ya watu bila sababu za msingi Cheki wachina wanvyo para gana na biashara ili tu kutoka kimaisha na wamefanikiwa saaana ingawaje wapuuzi Kama wewe wana wasema hivyo hivyo Kama wachaga na huwezi kulinganisha maisha ya maskin wa china na masking wa bongo sometimes I tend to think the reason is a color complication(black) am sorry for such hush language of racism ila nawe pia una asili ya tribalism so ngoma droooo nisamehe ila iga ndani wa wachaga uza duka, Shona viatu, Kama unaelimu mzur toa basi expots de calidad nje ya nchi ukuze uchumi
  Unajua thamani ya Tsh? Au unakaa tu lkupiga majungu wajenga uchumi?
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Usipoteze muda wako, huyu jamaa ndio zake.Utadhani Wachagga walimuulia mtoto.
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Dec 29, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ukiona mtu anakujadili sana basi ujue huenda anakuzimia ila anaona haya tu kukuambia.
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tatizo hawafurahii kutuzimia, ndo maana kila siku maneno.
   
 13. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #13
  Dec 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda hii. Hata hivyo, mbona wapo wengi tu wakaanga chips, wachoma nyama na mafundi saa.
   
 14. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #14
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wachaga hawajuwi mapenzi, liii
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Dec 29, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwasababu Moshi kuna viazi sana (West Kili tunalima), tuna mifugo mpaka sebuleni na shule tumeenda.
   
 16. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #16
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Mnachonifurahisha ni jinsi mnavyoweka aibu mfukoni na kuendelea na maisha na kwamba baada ya miaka kadhaa mnasogea hatua ya juu zaidi na kuwa matajiri. Hii ni tofauti na wazee wa Pwani ambao miaka nenda miaka rudi wanachoma mihogo au kuuza machungwa. Hongereni.
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Dec 29, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Aibu gani?
  Kazi za mjini?Aibu waone wasiojishughulisha
  !!
   
 18. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #18
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Hujaona/sikia kuwa baadhi ya watu hawafanyi kazi fulani kwa sababu siyo hadhi yao hata kama wana shida!!
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Dec 29, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa hao ndio wanaojua aibu.Sisi mpaka tunafikia kufanya hizo kazi maana yake tunaziheshimu maana zinaingiza kipato kama nyingine tu.
   
 20. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #20
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Sawa kabisa na ndiyo maana hakuna mchaga ombaomba japo nimesikia Moshi Mjini wapo wengi sijui wanatokea wapi!!!
   
Loading...