Ok9
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,542
- 4,117
Nakumbuka ule utawala wa Mkwere makundi mbal mbali yalionekana kurekebisha baadhi ya vitu pamoja nakukosoa.
Lkn kwa utawala huu imebaki kazi ya wapinzani tuu.
Makundi kama ya vya wafanyakazi... Wasanii wamenywea kabisa sijui nn shida. Wao ndo wangepata pa kutokea swala la increment na New employment. Lkn nahis JECHA SALIM JECHA alishafuta vyama hivyi.... Any way.....
Mkwere walimuimbia sana tena sana nyimbo nyingi zenye Mafumbo na za wazi akina ney.. Roma... Mpoto....waliimba. Lkn tofauti na sasa wooote wanaishi kama hawako Tanzania.
Leo nimeskia wimbo mpya wa roma nikasema ewaaaaa kitu hicho kumbe hoooooola.
Tatizo ni nn... Utawala? Uhuru?