Kwa nini wasaidizi wa rais wangu wameongezeka siku hizi ?

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Majuzi ndugu JK rais waa Nchi hii alikuja Mlimani City kufungua kikao cha makandarasi walio kutana eti kutafakari miaka 50 ya Uhuru wa Nchi hii na maendeleo ya kazi yao .Nilishangaa kuona kwa mara nyingine akiwa na wasaidizi kibao zaidi ya yule body gurad wake .Nikauliza jamani rais wangu nij muoga kiasi hiki ? Wakasema s muoga bali kuna mlinzi huyu umuonaye na kuna daaktari na wasaidizi wengine kwa kuwa rais afya yake si njema .Nikasema mbona kunaa ambulance kwenye msafara wa Rais wakasema yes kwa kuwa mkuu hajisikii vyema .Kwa kuwa sipendi vitu vya kubuni nimeona nije kuuliza hapa .Je hali ya mkuu wangu wa Nchi ni njema au wale walio nieleza waliniingiza choo kichafu ?
 
Kwani hujui tunaongozwa na mission town??
 
Huyo mkuu wa nchi ni lazma awe na wasaidiz wake wote...hujui alipo yeye ndo ulipo TZ, wapo wataalam,washauri,walinzi,nk. Hiyo hoja co ya msingi tusipoteze mda kuijadil..mbna rais wa congo DRC ana wasaidiz kibao au hujawah kuona msafara wake?
 
kuna mabodyguard, madaktari (MD), madaktari (ndumba), makuwadi, wa kumbebea suti za akiba, wa kumshikia simu zake ...
 
Hakuna ubaya kwa yeye kupata hivyo vyote as long as he is doing his job which so far he hasn't done.
 
Huyo mkuu wa nchi ni lazma awe na wasaidiz wake wote...hujui alipo yeye ndo ulipo TZ, wapo wataalam,washauri,walinzi,nk. Hiyo hoja co ya msingi tusipoteze mda kuijadil..mbna rais wa congo DRC ana wasaidiz kibao au hujawah kuona msafara wake?

mwita25 na ww ni mapacha nini?
 
Majuzi ndugu JK rais waa Nchi hii alikuja Mlimani City kufungua kikao cha makandarasi walio kutana eti kutafakari miaka 50 ya Uhuru wa Nchi hii na maendeleo ya kazi yao .Nilishangaa kuona kwa mara nyingine akiwa na wasaidizi kibao zaidi ya yule body gurad wake .Nikauliza jamani rais wangu nij muoga kiasi hiki ? Wakasema s muoga bali kuna mlinzi huyu umuonaye na kuna daaktari na wasaidizi wengine kwa kuwa rais afya yake si njema .Nikasema mbona kunaa ambulance kwenye msafara wa Rais wakasema yes kwa kuwa mkuu hajisikii vyema .Kwa kuwa sipendi vitu vya kubuni nimeona nije kuuliza hapa .Je hali ya mkuu wangu wa Nchi ni njema au wale walio nieleza waliniingiza choo kichafu ?
kwani huna habari wiki hii hii kuna waathirika walijitolea kunywa kikombe cha babu wakasema watathibitisha baada ya miezi mitatu kama sikosei walikuwa 7 wamesema wote wamepimwa wamekutwa navyo hakuna aliepona hata mmoja!
 
Back
Top Bottom