Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,894
Majuzi ndugu JK rais waa Nchi hii alikuja Mlimani City kufungua kikao cha makandarasi walio kutana eti kutafakari miaka 50 ya Uhuru wa Nchi hii na maendeleo ya kazi yao .Nilishangaa kuona kwa mara nyingine akiwa na wasaidizi kibao zaidi ya yule body gurad wake .Nikauliza jamani rais wangu nij muoga kiasi hiki ? Wakasema s muoga bali kuna mlinzi huyu umuonaye na kuna daaktari na wasaidizi wengine kwa kuwa rais afya yake si njema .Nikasema mbona kunaa ambulance kwenye msafara wa Rais wakasema yes kwa kuwa mkuu hajisikii vyema .Kwa kuwa sipendi vitu vya kubuni nimeona nije kuuliza hapa .Je hali ya mkuu wangu wa Nchi ni njema au wale walio nieleza waliniingiza choo kichafu ?