Kwa nini wanawake wengi

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Pindi wakiwa wamewakosea wazazi wao, ni vigumu sana kuwapigia magoti na kuwaomba msamaha ili wasamehewe.
Cha ajabu ni wepesi sana kuwapigia magoti waume zao, mabwana zao.

Napata tabu sana kuelewa, hivi huwa wanaomba misamaha ya kweli au udelila tu.
 
Ujue mimi wanawake huwa siwaelewi, utakuta wanawake wengi kichwani kajitengeneza nywele zake kwa bei mbaya pamoja na nguo zake za bei mbaya, angalia sasa watoto wao jinsi mavazi ya sagula sagula tandika yanavyo watoa.
 
hivi ulishakosea mzazi wewe ukaona kweli imemkera... mmh nadhani me nipo tofauti kabisa kuliko nimuudhi mzazi wangu loh usingizi nakosa sipendi kabisa na mpaka anisamaehe ......... mpenzi wangu nikiamua siombii msamaha...
 
ndo kusema mwalim wao kafa au kichaa?
 
Ujue mimi wanawake huwa siwaelewi, utakuta wanawake wengi kichwani kajitengeneza nywele zake kwa bei mbaya pamoja na nguo zake za bei mbaya, angalia sasa watoto wao jinsi mavazi ya sagula sagula tandika yanavyo watoa.

mbona unabadilisha mada wewe?
 
Sasa inategemea na kosa ulilomkosea mzazi,kwani kuomba msamaha lazima upige magoti??mim sjawah kumpigia magoti mwanaume wao ndio hunipigiaa
 
Upendo wa mzazi na wa mume ni vitu tofaut,mzazi hata umkosee vipi hawezi kukuacha mfano mdogo ni yule mwanampotevu pamoja na yote aliyofanya babae alimpokea na karamu alimfanyia. Ni tofauti kabisa na mume ama mpenzi ambae mda wowote anaeza kukatisha uhusiano,ndo mana wakati mwingine tunajitahidi kua wanyenyekevu kwao...
 
hivi ulishakosea mzazi wewe ukaona kweli imemkera... mmh nadhani me nipo tofauti kabisa kuliko nimuudhi mzazi wangu loh usingizi nakosa sipendi kabisa na mpaka anisamaehe ......... mpenzi wangu nikiamua siombii msamaha...

atakupiga na bastola chezea mangi wewe
 
kwamtoro nafikiri hili ni tatizo la pande zote mbili kwani hata wanaume wenyewe sijwahi kuona mwanume anamwomba msamaha mzazi wake akiwa kapiga magoti au anambembelza mzazi wake huku analia :A S cry: :A S cry:lakini kwa wake/wapenzi wao magoti hupigwa na kilio :A S cry: :A S cry:hutolewa sasa hapo sijui :noidea: :noidea: :noidea:nini kinamotivate hayo hasa kwa wapenzi na sio wazazi!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ujue mimi wanawake huwa siwaelewi, utakuta wanawake wengi kichwani kajitengeneza nywele zake kwa bei mbaya pamoja na nguo zake za bei mbaya, angalia sasa watoto wao jinsi mavazi ya sagula sagula tandika yanavyo watoa.

Changia mada!!
 
inategemeana na ntu na ntu. Na sio tabia ya wanawake bali binadam na hii inajengwa na mfumo wa kimaisha. Tangu udogo nilipomkosea mzazi msamaha niliupata baada ya fimbo hata ningekesha nikiomba fimbo zilitangulia. Mtaani ninaambiwa mwanamke hapigwi (japo wengne wameambiwa tofauti) na nilijijenga hvyo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom