Kwa nini wanawake wengi wanapenda kumegwa bila condom?

analysti

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
729
612
rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Ngoja waje kukujibu wenyewe!
Kwa tunaoheshimu ndoa zetu hilo hatulifahamu
 
mkuu uliuza mechi sh ngapi?? Au ulifanyia batter trade kati ya mapenzi na maisha yako??
 
Ukiondoa suala la mimba na stds, 'pipi ni tamu zaidi ikiliwa bila maganda'! Ni ajabu sana mpaka leo hii watu bado tunapima HIV kwa kutizama kwa macho.
 
sababu,kuna wengine wanaamini ya kuwa condom ni kwa ajili ya malaya tu{hao huwa hawapendi kujiingiza kundi hilo}wengine huhisi kwa kuwa wao wamependa kupitiliza,huyo anaempenda kwake special ni bila condom,wengine wanaona condom haina raha ni kama unawasokomezea liplastic,wengine tufe wote anajisikia raha anapomrushia mwenzake vidudu,mwengine wanapenda wanase mimba pengine wataolewa.sababu zipo nyingi,ila mihangaiko ya nini jamani?kuwa na mmoja huwa hatoshi mpaka vijana muhangaike?
 
mkuu wao huwa awadai kondom kwa kuwa zinakuwa nyepesi kuishiwa mafuta baada ya hapo ni maumivu tu kwa hiyo sasa bora dry halafu uzuri wa dry mwanaume ujiachii sana kama ukiwa na ndomu sababu ya kuwa care zaidi..
 
Mkuu anayekataa ucvae condom huyo atakua kaukwaaa,so znduka mzazi..anayejirinda hawez kukubal kavu kavu..so kapime mzaz
 
Ambao hajaolewa hupenda matumizi ndomu lkn wake za watu hawataki kabisa ndomu. Sijui ni kwasababu gani....
 
sababu,kuna wengine wanaamini ya kuwa condom ni kwa ajili ya malaya tu{hao huwa hawapendi kujiingiza kundi hilo}wengine huhisi kwa kuwa wao wamependa kupitiliza,huyo anaempenda kwake special ni bila condom,wengine wanaona condom haina raha ni kama unawasokomezea liplastic,wengine tufe wote anajisikia raha anapomrushia mwenzake vidudu,mwengine wanapenda wanase mimba pengine wataolewa.sababu zipo nyingi,ila mihangaiko ya nini jamani?kuwa na mmoja huwa hatoshi mpaka vijana muhangaike?


Umesema kweli na inasikitisha saana... Kuna rafiki yangu mmoja (tena msomi) nashangaa siku hio katoka kwa boy friend wake ana so much energy na furaha ya juu saaana.... ikabidi nimuulize kulikoni?? The jibu alinipa niliishiwa pose kabisa... nilishindwa sema lolote; kua huyo boyfriend wake toka wameanza huo uhusiano wa two months siku hio ilikua ni mara ya tatu kufanya hilo tendo - Siku zoote the guy alikua anatumia Condom, but siku hio hakutumia.... Furaha ya huyo rafiki yangu ilikua kwamba sasa the Guy inaonesha kaanza kumuamini (yeye mdada) maana kalala nae bila condom, hivo ni kisa cha firaha yake!! Imagine ni mwana chuo.... kasoma but elimu bado haijamkomboa pande hizo.... kwamba kipimo cha kupendwa ni kulalwa bila condom... while i thot otherwise....
 
mkuu ni kweli wanawake hawapendi kucondomize.sababu kubwa ni kwamba wanawake huwa wanapenda kweli.yaani anajitoa kwako kwa kila kitu ndo maana unapomtongoza inakua ngumu kukubali huwa wanogopa kutendwa.yaani yupo tayari kufa kwa ajiri yako.so vyovyote utakavyo yeye anakubali.ndo maana %kubwa ya wanake wameathirika kuliko wanaume.ndo maana ukaambiwa mwanaume ni kichwa.kwenye mapenzi mwanamke hana kauli.so wewe mwanamme akili kukichwa.usimdanganye mwenzio anapokupenda.mia
 
be carefuly wt ya movement,so wanapokataa ww unakubal na unaenda kavkav,jal afya yako!
 
Mkuu, kuwa makini. Usione kama unashinda game kwa ku do bila condom. Kumbuka hakuna mbadala wa maisha, nenda kapime!
 
Back
Top Bottom