sababu,kuna wengine wanaamini ya kuwa condom ni kwa ajili ya malaya tu{hao huwa hawapendi kujiingiza kundi hilo}wengine huhisi kwa kuwa wao wamependa kupitiliza,huyo anaempenda kwake special ni bila condom,wengine wanaona condom haina raha ni kama unawasokomezea liplastic,wengine tufe wote anajisikia raha anapomrushia mwenzake vidudu,mwengine wanapenda wanase mimba pengine wataolewa.sababu zipo nyingi,ila mihangaiko ya nini jamani?kuwa na mmoja huwa hatoshi mpaka vijana muhangaike?