Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,893
Kwa kipindi cha mwaka mmoja nimefuatilia maada nyingi humu ndani hakika wanawake wamezidi kufanya ngono ndani ya mahusiano.
Yaani kuna matukio yanajitokeza mpaka unashindwa kuelewa kama wana moyo wa huruma au wameingiliwa na shetani gani. Mtu unaingia kwenye Ndoa kwa kusahau yote aliyoyapitia bado akiingia kwenye ndoa anaendelea kufanya uzinzi tu..Jaribu kusoma thread nyingi ndani ya MMU utaona nyingi zinaongelea kusalitiana, kufumaniana,kugongewa yaani shida tupu.
Je, ni vyakula hivi ambavyo vimebadilisha mihemko ya miili yetu mpaka tunakuwa na hamu ya uzinzi hadi usoni kwetu. Tuwe wakweli humu ndani wadada wengi wana matatizo kwenye mahusiano yapo ndio maana baadhi yao michango yao huwa ukiifikiria utadhani siyo mwanamke.
Ebu wakati tunaelekea mwisho wa mwaka tujaribu kujiuliza nini tumemkosea mungu mpaka tunakuwa na hulka ya uzinzi kiasi hicho.
Leo tu kuna mdau amesafiri kibiashara mke wake wa ndoa ameingiza mwanaume kwenye kitanda chake kwa ajili ya kuzini hivi hamuoni aibu?
Mnakera kwa kweli.